Recent content by Erickpaford

  1. Erickpaford

    JamiiForums Tanzania Kocha Nabi wala Kaizer Chiefs hawawezi kumchukua wala kumtaka Fiston Mayele

    Wanadam tunapenda sana kuongea kulingana na mitazamo yetu...huyu nae anawasilisha mtazamo wake kinafiki....wewe n nan yake Nabi mpka akuambie hayo au ulimsikia wapi..acha kukurupuka humu tumo watu wenye staha zetu..jenga hoja sio umbea🤨🤨
  2. Erickpaford

    JamiiForums Tanzania Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

    Ilikuwa miradi yetu na haikuwa na terms za ajabu..Magu alikuwa smart sana💪
  3. Erickpaford

    JamiiForums Tanzania Bado unawasiliana na Ex wako? Je, bado mna mawasiliano mazuri?

    Your bright 💪
  4. Erickpaford

    JamiiForums Tanzania Makanisa mengi hasa ya Kilokole ni Mradi wa Shetani

    Acha inyeshe kabisaa ..panapovuja patajulikana tu🤨
  5. Erickpaford

    JamiiForums Tanzania Tunakumbushana tu

    Mm naamini wakati wa matan ndo mtu anapitishia ukwel ndan yake .kumbuka utani n maneno ya mizaha ila yenye ukwel ndani yake......kuwa makin na matani ya watu wako wa karbu....huo ndo ukwel..🤨
  6. Erickpaford

    JamiiForums Tanzania Tunakumbushana tu

    Hakika ..lintokalo mtu ndo lililoujaza moyo wake🤨
  7. Erickpaford

    JamiiForums Tanzania ONYO: Timu itakaayomsajili Bernard Morrison (Toto tundu) itakuwa imekubali kukumbatia Mzinga wa Nyuki

    Maisha n kuchagua ...kwake n sahh kuwa hvyo:):)
Back
Top Bottom