Huu msemo nimeamini sasa!! Japo nilikua nauamini, lakini sasa nimezidi kuuamini. Nimetoka Dar nimekuja mkoani kikazi, nyumba nayoishi pembeni kuna jirani nilietokea kupatana nae, na mimi kuja mtaa huu, imekua kama neema kwake.
Kiukwel jamaa hayupo vizuri kimaisha hata ukimuangalia tuu utajua...