Recent content by Erick zeph Stanley

  1. Erick zeph Stanley

    Rais Magufuli apokea zawadi ya sanamu ya Bikira Maria Ikulu Dar

    Hilo ni lisanamu tu hata unaweza ligeuza kuni ukapikia siwezi pigia magoti hilo sanamu
  2. Erick zeph Stanley

    Kwa hili la majina ya wafanyakazi halali na wenye vyeti feki serikali iwajibike

    Ni vugumu kuweka kaka list haikuwa uploaded online Bali Walituma kwenda halmashauri za wilaya husika ila ngoja nifanye juhudi nikiyapata Nita ya upload hapa mkuu...
  3. Erick zeph Stanley

    Kwa hili la majina ya wafanyakazi halali na wenye vyeti feki serikali iwajibike

    Hapana ila Walitoa majina ya wafanyakazi halali waliohakikiwa lakini katika hayo majina tatizo ni kwamba baadhi ya wafanyakazi wao Hawamo lakini walishiriki katika zoezi Zima la kuhakikiwa na ikaonekana kama vyeti vyao havina shida kwani katika majina ya awali ya wenye vyeti feki pamoja na Yale...
  4. Erick zeph Stanley

    Kwa hili la majina ya wafanyakazi halali na wenye vyeti feki serikali iwajibike

    Ni kweli mkuu Kuna haja ya hawa wafanyakazi kujiandaa kuchukua hatua zingine kwa haraka zaidi kama ufumbuzi hautapatikana.
  5. Erick zeph Stanley

    Kwa hili la majina ya wafanyakazi halali na wenye vyeti feki serikali iwajibike

    Ni siku ya ijumaa serikali kupitia wizara husika ilamua kutoa orodha ya watumishi halali waliohakikiwa na majina Yao kubandikwa katika halmashauri za wilaya wanazofanyia kazi lakini jambo la ajabu ambalo limenifanya niandike uzi huu ni baada ya kupita katika halmashauri ya wilaya moja na...
  6. Erick zeph Stanley

    Waliokosa first selection ya TCU

    Sio mbaya ukipm namba yako na password tukusaidie kuangali
  7. Erick zeph Stanley

    Msimamo: Nitasimama na Majemedari Ninaowajua, Tuliopigana Vita Pamoja Nao...

    hujui Biblia asee kasome upya... Mtume Paulo hakuwa adui wa Ukristo... ila alikuwa anaua watu aliyowahisi wanatenda kinyume na sheria ya Mungu!
  8. Erick zeph Stanley

    Kumbe ni kweli Yanga ni CCM, NImejitoa rasmi kuisapoti leo

    Afu watu wengine bana... sasa kama umeziona ndo umeambiwa zimebandikwa na Viongozi wa Yanga? kwanza watu kama nyie ndo hamuitakii timu yetu mafanikio.... Nenda tu hatukutaki kwenye timu yetu!
  9. Erick zeph Stanley

    Live Update VPL: Simba SC Vs Kagera Sugar / Mwadui FC Vs Azam FC

    uongo mtupu... nenda tff ukareport basi upeleke na ushahidi sio blah blah zako kaka...
Back
Top Bottom