Recent content by Erick B

  1. Erick B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri/msaada wa biashara ya karanga na masoko yake

    Habari mkuu... Naomba kupata mwongozo wa soko kidogo kwa ulipofikia
  2. Erick B

    JamiiForums Tanzania Natafuta zabibu kavu na almonds toka Zanzibar

    Em tufikirie namna ya kuzilima almonds.. Ukipata data tu we nirushie swala la kulima niachie.. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Erick B

    JamiiForums Tanzania Natafuta zabibu kavu na almonds toka Zanzibar

    Em tufikirie namna ya kuzilima almonds.. Ukipata data tu we nirushie swala la kulima niachie.. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Erick B

    JamiiForums Tanzania Kilimo na soko la almonds

    Naombeni connection ya anayeuza mbegu miche ya Almond au mkoa gani zinakubali zaidi.. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Erick B

    JamiiForums Tanzania Kuuliza sio ujinga, almond zinalimwa sehemu gani nchini?

    Zinalimwa Arusha maeneo gani..? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Erick B

    JamiiForums Tanzania Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

    Kwa aliyefanikiwa kupata details na ufaham wa upatkanaji mbegu atupe mrejesho.. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Erick B

    JamiiForums Tanzania Hivi wakuu useremala hapa mjini bado unalipa? Nataka kutoka kwenye ajira kuirudia fani yangu

    Inalipa ukija ki sasa.. Sijasomea ila naplan ya kuwekeza uko mwakani... kama vipi uwe partner..
  8. Erick B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

    Njoo TZ kwanza tuonane live.. sasa zinazotangaza kwa kingereza inakuje.. zinapatkanaje
  9. Erick B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

    Hiyo KWESE ipo Tz kweli..? kwa wanaoijua bei zake zikoje
  10. Erick B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

    pole man.. duu mi nmehisi ii kitu kabla sjaanza so vipi ulifanikiwa kufungua pengine.. ? bizi inaendaje
  11. Erick B

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinakodishwa Arusha

    Ata ikiwa $ USD haiwezekani kuuza kaka. ni kukodi tu
  12. Erick B

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinakodishwa Arusha

    Uwezekano hamna bro. karibu ikodi
  13. Erick B

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinakodishwa Arusha

    ni kukodisha tu.
  14. Erick B

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinakodishwa Arusha

    Kiwanja kipo Arusha majengo juu kituo miambo kunja kushoto kama mita 50, kuna maji umeme na rum kama 2 (zinaeza kua office au etc.) available. Kinafaa matumizi ya Garage, packing or other company activities. eneo limetulia na usalama wa kutosha- geti kubwa & fence, choo kiko karibu na lami (50m)...
Back
Top Bottom