Recent content by Erica85

  1. E

    Familia moja ktk kitanda kimoja

    huo ndo ukweli maisha ya uswazi ndivyo yalivyo
  2. E

    Another mchungaji!

    hahaaaaaaaaaaaaa!! Huyu mchungaji amepinda
  3. E

    National audit matokeo any time from now

    yatoke tu coa hata mimi nayasubiri kwa hamu kwa kweli
  4. E

    GE2010 Batilda Agoma Kusaini Matokeo!

    its really terrible hapa manispaa ya Arusha. kumejaa sana na kelele za kila aina ikiwa ni pamoja na mavuvuzela. sijui kwanini huyu mama hataki kukubali kushindwa
  5. E

    Hivi Mnafikiri Kikwete anaweza kuiongoza Tanzania ya Sasa?

    Kwa mtazamo wangu, hawezi kabisa, ataipeleka nchi pabaya zaidi. hebu angalieni anavyozidi kutoa ahadi lukuki zisizotekelezeka!! Hata udiwani mi sidhani kama anauweza. Abaki tu kuwa kiongozi wa familia yake.
  6. E

    GE2010 Ni Mgombea yupi atapoteza maisha kabla ya Jumapili?

    Mimi binafsi hili swala linanitatiza, sijapata maeleao ya kunifanya nikaielewa hii mada, nimekuwa nikiisikia juu juu tu. Naomba mwenye kuielewa anijuze tafadhali
  7. E

    Dr. Slaa Anafaa Kuwa Rais

    Mungu atupe macho ya kuona na kutambua kisha tuchague kiongozi anayejali maslahi ya wananchi
Back
Top Bottom