Hivi Mnafikiri Kikwete anaweza kuiongoza Tanzania ya Sasa?

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Tanzania hii ya sasa ni ya Educated and people who have tired with Promices which are not applicable,, wamechoka kudanganywa na wanaotafuta ukweli wa mambo kwa Gharama yeyote ile..

Sasa Kikwete ni mtu ambaye ni maalum kwa kuwa tu Diwani kwasababu Adhi yake Si kuwa Raisi,, aDHI YAKE SI KUWA RAISI... NI UDIWANI!!

Watanzania walio Elimika na wanaotaka Haki ya kikatiba na kisheria inatendeka kwa kiwango kinachotakiwa,, hii itampashida sana,, kwani kipindi kile watanzania wachache tu ndio walikuwa wanajua hayo mambo yanawezekana,, na woga pia umewapungua...

Hebu tazameni lile Baraza yaani Vitu vyake anafanya kimasialamasiala tuuu, na Mikataba ya Kilaghai kasign Kwaajiri ya Bandali ya Tanzania wanabaki wanafaidika watu wachache ambao si Watanzania,, inauma sana
 
Poul nawewe usiwe kama watu wasio na elimu ya maendeleo,, kafanya nini Zaidi ya kuzuia milango ya maendeleo ambayo ilifunguliwa kipindi cha mkapa,, na kuwasuport mafisadi?
 
Kikwete anafaa zaidi kuwa Waziri wa Michezo na Habari na mambo ya masihara masihara.
 
[mbona kaweza kungoza kwa miaka mitano? Tumpe tu na miaka mitao ijayo_Originally posted by paulk]

Mpe undani wako!!!
 
Hajajua mambo mengi sana yamesimama toka akabidhiwe rasmi na Mkapa, vifo vya wamama wajawazito vimezidi kuongezeka kwa asilimia 2.5% na wanafunzi wamezidi kufeli mitihani ya taifa kwa asilimia 0.5%,, hii inaonyesha failule ya kuiongoza nchi,,

huyu jamaa anafikiri hizi ni enzi za kuongoza kicomedy kama miaka 42 iliyopita,, sasa Educated na Population imeongezeka,, majority of Tanzanians are Educated,, hawadanganyiki,,

Hiyo miaka mitano amefanya vitu vipi vitatu vinavyo onekana Yeye kama Kikwete?
 
Tanzania hii ya sasa ni ya Educated and people who have tired with Promices which are not applicable,, wamechoka kudanganywa na wanaotafuta ukweli wa mambo kwa Gharama yeyote ile..

Sasa Kikwete ni mtu ambaye ni maaluym kwa kuwa tu FDiwani kwasababu Adhi yake Si kuwa Raisi,, aDHI YAKE SI KUWA RAISI... NI UDIWANI!!

Watanzania walio Elimika na wanaotaka Haki ya kikatiba na kisheria inatendeka kwa kiwango kinachotakiwa,, hii itampashida sana,, kwani kipindi kile watanzania wachache tu ndio walikuwa wanajua hayo mambo yanawezekana,, na woga pia umewapungua...

tumpe Slaa tuone na yeye ubongo wake unaishia wapi jamani




Tulifikiria hivyo 2005 sasa tumejua tulifanya makosa. Hawezi kabisa!! sio creative! is too routine!! narudia hawezi!!
 
Kwa mtazamo wangu, hawezi kabisa, ataipeleka nchi pabaya zaidi. hebu angalieni anavyozidi kutoa ahadi lukuki zisizotekelezeka!! Hata udiwani mi sidhani kama anauweza. Abaki tu kuwa kiongozi wa familia yake.
 
Mi nadhani kikwete apumzike tu, ashuhudie jinsi nchi itakavyopaa kimaendeleo na kizalendo zaidi siyo kama sasa.
 
I think you know his record as energy mister. He signed IPTL contract. 140M /- kila mwez, umeme utoke au la.
The guy is a joke. A terrible joke.
 
Huyu Jamaa kilakitu anatia masiara na udhaif wake yeye ni Wanawake tu
 
Huyu bwana anafaa achukue ile nafasi ya Lundenga, kwani kwenye uwaziri hawezi kitu kabisa labda promota wa wasani
 
Kikwete hajawahi kuiongoza Tanzania de fact JK ni sanamu iliyoko Ikulu Raha, ziara mbalilimbali,sherehez a harusi na misiba ya maswahibu wake yupo yupo na sifa za kumpaka mafuta kwa kwa mgongo wa chupa TOSHA!waNAOONGOZA NCHI NIMAFISADI AKINA ROSTAM AZIZ MUNGU IBARIKI TANZANIA
mbona kaweza kungoza kwa miaka mitano? Tumpe tu na miaka mitao ijayo.
 
Tu7achane na haya Viongozi walioko bungeni waliochaguliwa kwa kura halali ni wale wa upinzani,, na ndio tunao wategemea Hasa Wa chadema mi naomba wasije kufanya Makosa kabisa KJwasababu nimeona isharambaya huko tunakokwenda namaanisha miaka mitano ijayo Tanzania itakuwsa imesha fanyiwa mnada,, :teeth:
 
Nyie! JK hana uwezo wa kuongoza! Ila anaweza KUTAWALA! Kwa miaka mitano iliyopita hakuiongoza hii nchi... aliiitawala! Na kwa miaka mitano ijayo nauhakika ataendelea kutawala nchi hii. Kunatofauti KUBWA! kati ya KIONGOZI na MTAWALA. Na nchi yetu haiitaji MTAWALA.... Tunahitaji KIONGOZI!
 
:angry: huyo Jk tuengee ukweli sioni kama kafanya kitu,zaidi ya kumleta Maximo na timu ya Brazil na kuwanadi mafisadi jukwaani kuwa ni wazuri wananchi wawachague,basi,ni mzuri sana kwa kuongea na kujibu hoja pia ni mwepesi wa kukana jambo, hana uchungu na Watanzania kamwe
 
Back
Top Bottom