Recent content by Erc cyp

  1. Erc cyp

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana na inanitesa sana

    [emoji1][emoji1]..mapenzii bwanaa,, Ni hivii kule unapopendwa mara nyingi hutupataki..tunapataka kule ambapo hatupendwi... ....huyo dogo usiwe available sana kwake ,,anakuchukulia for granted jombaa... Cha msingi usikae kireee...date wengine hamna shortage ya hao wife material. Ila la mwisho...
  2. Erc cyp

    JamiiForums Tanzania Nini faida ya kuoa kwa sisi wanaume?

    Make no mistake mkuu...we all die alone And in a few months we forget about you... It is what it is..
  3. Erc cyp

    JamiiForums Tanzania Gari iliyomteka MO yakutwa imetelekezwa Gymkana

    Haya ndo yale mambo ya kuoka moto juu ya mti huku mvua inanyesha...
  4. Erc cyp

    JamiiForums Tanzania Huyu ndo mwanaume naemtaka

    [emoji23][emoji1787][emoji1787]...naona pamekucha mkuu... Pamekucha kwelikweli...
  5. Erc cyp

    JamiiForums Tanzania Hawa waliotuletea network marketing wanatumalizia vijana wetu ari yakutafta pesa

    Kontena lao...halijafika sio....[emoji23][emoji23][emoji23]
  6. Erc cyp

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuachana na mambo ya dini ndio nagundua dini hupumbaza sana binadamu

    Duuuh...ebwanaa eeeeh [emoji38]
  7. Erc cyp

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuachana na mambo ya dini ndio nagundua dini hupumbaza sana binadamu

    Naamin kabla ya kuja..wale watawala tulikua na dini zetu au?
  8. Erc cyp

    JamiiForums Tanzania Je, ni biashara gani mwanafunzi wa chuo anaweza kufanya akajikwamua kiuchumi?

    Brilliant idea... Hapo ni mwanzo tuu watu wakuzoee then unaendelea vizur
  9. Erc cyp

    JamiiForums Tanzania Je, ni biashara gani mwanafunzi wa chuo anaweza kufanya akajikwamua kiuchumi?

    Vyuoni madogo wana changamoto linapokuja swala la kifedha... Najua huu uzi utakua very useful kwao some day some how.. Itawaongoza kwa namna flan hv..
  10. Erc cyp

    JamiiForums Tanzania Je, ni biashara gani mwanafunzi wa chuo anaweza kufanya akajikwamua kiuchumi?

    Pamoja sana mkuu.. Hv tukiangalia swala la kulinda mtaji hapo inakuaje? maana shamba ukishaweka mbegu chini hakuna kurud nyuma tena, ndo imetoka hvyo
  11. Erc cyp

    JamiiForums Tanzania Je, ni biashara gani mwanafunzi wa chuo anaweza kufanya akajikwamua kiuchumi?

    Habar wakuu Kutokana na maisha yalivyo kwa sasa ni biashara gani mwanafunzi wa chuo anaweza kuifanya akajikwamua kimaisha?
  12. Erc cyp

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    lembu, Kwa mfano baada ya kujisajili nikaamua kuhama location ambayo niliijaza mwanzo haina effects zozote?
Back
Top Bottom