Recent content by epya

  1. E

    Ukitaka raha ya ndoa kaoe mpare

    Kweli wewe ni fake knowledge! Eti wabovu usijumuishe mtu mmoja ukasema wote, labda huyo mkeo sijui demu wako ndio mbovu.of coz am not kaskaz bt this is not fair hata makabila wengne wapo wabovu pia
  2. E

    Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

    Au kitolea hewa chafu kimelegea kinatoa ovyo ovyo, au ulishatumia mlango wa nyuma manake hayo ndio madhara yake sasa
  3. E

    Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    Hongera sana mdada Mungu ni mwema, achana na hao wanaokubeza, hawajuai mauchungu ya kukosa mtoto
  4. E

    Nimeoa mwanamke ambaye hajishughulishi kitandani wala hataki nimshike

    Hakuna binadamu mkanilifu, kila mtu ana mapungufu yake bt mkielekezana kila kitu kinakua mwake, unakuta hata ungesema uoe kabila lingne unakuta kitanda yupo poa bt mambo mengne hopeless, hivo usijutie mueleze kistaarabu mkiwa wote kwa mud atakuelewa, bt upande wako pia yawezeka kuna vitu...
  5. E

    Hivi kuna mapenzi ya jinsi hii?

    Una miaka mingapi kwani
  6. E

    Kifo Cha Nabii Eliya Munuo: Mungu amesikia sala ya mnyonge wake

    Tusiwe mahakimu kumkumu huyu mtu, kusali huko au kutokusali huko awe ni nabii wa kweli au uongo Mungu atamhukumu ajuavyo, cha msingi tuliobaki tutembee katika njia ipasayo na impendezayo Mungu, simama ulipo usiyumbishwe.
  7. E

    Siloam Ministry International Mbezi Beach

    Mmmmmh kweli kafa? Mbona mkakanyiko
Back
Top Bottom