Recent content by epsonL

  1. E

    Tuwahurumie Graduates, Hakuna Mwanasiasa wa kuwatetea Vijana waliomaliza Chuo

    Wapi duniani wasomi wote wameajiriwa fikiri nje
  2. E

    Rais Samia tafuta fedha au ingia mkataba na sekta binafsi wajenge uwanja wa Mpira wa kisasa Dodoma

    Mmekula hela za SABODO na mmejikausha kama hamkupewa
  3. E

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinaendeshwa kwa fujo na vitisho baridi

    Wengine wanadhani mambo ya siasa yanafanana na ushabiki wa mpira mitaani, tuwahurumie tu .Watanzania wanaelewa na sio wajinga kushabikia vitu wanavyoona haviana manufaa kwao ndio maana ukiwaambia waandamane huwaoni.
  4. E

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinaendeshwa kwa fujo na vitisho baridi

    Wengine wanadhani mambo ya sisa yanafanana na ushabiki wa mpira
  5. E

    Tuwahurumie Graduates, Hakuna Mwanasiasa wa kuwatetea Vijana waliomaliza Chuo

    Shida ya watanzania ni kutokuwa wabunifu hata wakitoka vyuoni malengo ni kuajiriwa tu, unatakiwa ufikiri zaidi na kubuni kazi zipo nyingi tu tatizo tunataka kazi za ofisini tu
  6. E

    CCM msituletee tena Rais kama Hayati Magufuli

    Hili ni jamabazi na lifisadi kabisa, kwa kweli magufuli alitufumbua macho na akili anayebisha muache.
  7. E

    Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

    Huyu mleta post hii ni mnufaika wa Riziwan au Riziwani mwenyewe anajipigia debe
  8. E

    Kwanini Sweden (Sida) hawakutupa pesa FY2020|21 na badala yake wametupa FY2021|22 mwaka mmoja baadaye?

    Mnapenda misaada sio, chapeni kazi, misaada mingine hatari
  9. E

    Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

    Huyu Jaffary ni shida sana tena , ashukuru maana angetolewa kwa vyeti fake
  10. E

    Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

    Jina lake halisi ni Jaffary alirudia na kutumia jina la jamaa mwingine.
  11. E

    Peformance appraisal, Rais Samia amepata 100

    Tunakwenda na Hangaya hata mlete upotoshaji wa ajabu tumeishaona mwanga sasa.
  12. E

    Rais Samia Akutana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Blair

    Serikali ya Uingereza kwa nini iliilazimisha zile fedha zirudishwe na zikarudi .Hukumbuki hizo fedha zilileta balaa mpaka kwenye Bunge la Uingereza. Naomba uwe unafatilia mambo na usilete stoty za mitaani hapa .
  13. E

    Rais Samia Akutana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Blair

    Kafisidi nini Rostam lete ushahidi hapa sio longo longo, mbona Blair ametajwa kwenye mijadala ya kidunia na imedhihirika kumbuka ni waandishi 600 duniani wameshiriki kuleta majina hayo mojawapo ni huyo Blair na wengineo wengi . Unajua suala la Radar ile mbovu na Tanzania baadae tulifidiwa ...
  14. E

    Si sahihi kufikiri eti komandoo akiwa mtaani ni kama raia wa kawaida

    Eti unataka kuchonganganisha jeshi na Polisi , sidhani wewe ulishawahi kupitia jeshi na ukajua nini jeshi linafanya .
  15. E

    Je, Rais na Mwenyekiti CCM Taifa Samia umeruhusu Upuuzi huu wa Kuchezea Pesa unaofanywa na RC wa Mara Hapi na Mbunge Mavunde wa Dodoma?

    Unaonekana hamnazo kabisa sisi ndio tulichanga tukampatia Mbunge wachezaji kama wakishinda ikiwa ni hamasa kwao. Nakushauri nenda kachambie mgomba haraka.
Back
Top Bottom