I always giggle/shake my head each time I reflect on the fact that we had the most science-denialist-president in the first-scientist-president.
“Turning his back on science, despite having a Phd in chemistry, he prescribed God, communion wafers and steam baths as prophylaxes. Unsurprisingly...
Nadhani hawa watakuwa miongoni wa hizo PhD za mwanzo nchini:
Prof. Anthony Rweyemamu, PhD (1965) Syracuse Univesity
Prof. Isaria Kimambo, PhD Ed. (1967) Northwestern University
Mwaka juzi (2016), Chama cha Hisabati Tanzania (CHAHITA / MAT) kilitimiza miaka 50 na kuchapisha muhtasari ya mafanikio yao kipindi hicho. Kwenye hilo chapisho (MAT Bulletin 2016) kuna orodha ya wanafunzi waliopata kushinda tuzo za mashindano ya CHAHITA. Kwenye hiyo orodha yumo pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.