Recent content by Epemic

  1. E

    JamiiForums Tanzania Brain challenge

    Apple moja=7 Ndizi 3=6, Ndiz Moja =2 Mkungu Wa Zabibu 12 =12 , zabibu moja =1 Hivyo inakuwa apple 2+zabibu 11 +ndizi 1= 14+11+2=27
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni siku zipi ambazo mwanamke huweza kupata ujauzito katika mzunguko wake wa kila mwezi?

    katika mada zilizochangiwa kwa nidham hii ni mojawapo, mara nyingi ushaur wa jf huambatana na kashfa ila hapa shwar.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

    WWE is doing the best for their bussiness.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa Live ITV akipiga Kura Monduli

    good..!
  5. E

    JamiiForums Tanzania AHADI TU-1995,2000,2005,2010 na sasa 2015

    Imekula kwenu, shule za kata zimetufumbua macho wasomi ni wengi sasa, hatudanganyiki na ahadi zenu za kofi, tshet, khanga, madera na ahadi zenu za uongo, watoto washule hatudanganyiki tunataka mabadiliko.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mke wa Dr. Slaa, Rose Kamili amshangaa Dr. Slaa kuwashambulia Lowassa, Sumaye

    asante mama, R.I.P Slaa katika safari yako ya siasa. tumesikia pumba zako, tunaomba kukuarifu tu kuwa umeendelea kutuaminisha kuwa lowasa anafaa. Dr. kamwambie aliyekutuma kuwa nimewakuta wakali kweli na wameniambia wameshindwa kubadili misimamo yao chaguo lao ni lowasa, labda wakampe hela na...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mbowe unatuachaje?

    Hakuna kitu kama hicho ndugu, mpambanaji wa kweli hawezi kuacha chama kwaajili ya mtu, mwenye akili timamu na mwenye kujua mabadiliko hata kaa arudishe kura yake ccm. labda hao ni wale wa kutengenezwa. tungeamini hilo mkuu wangehamia vyama vingine vya upinzani na sio huko ccm.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Asante Mh. Mbowe!

    Kwa bahati nzuri, hata upinzani wawe na udhaifu mkubwa kiasi gani, nitabaki upinzani kuliko kuirejesha CCM madarakani. pole kwa unafiki wako Slaa, huku kwetu umepuuzwa.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Dr, Kiukweli Sijapenda Alichokifanya hii ni Kuididimiza nchi, tunataka tujue uongozi wa ukawa, hawa wengine tayar hawafai. sasa dr. anamshambulia fisadi mmoja kaacha wale 10 kwenye list yake. hii ni wazi kuwa wale ambao hawakutajwa na dr. ndio wamemwezesha kumchana rais mtarajiwa. naomba EL...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kampeni za uraisi UKAWA kupitia CHADEMA

    Safi Sana, Endele Kutujuza
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Mbona kuna uzi mwingine kama huu wenye kuleta updates za maana umeondolewa? huyu sie huku hatu muelewi nahisi katumwa na huku hakuna umeme.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Mleta Uzi Unaboa sana, sasa Tunahamia Uzi Mwingine Unaoleta Upadtes, Unakuwa Kama CCM.
  13. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mumewe wa ndoa ameoa mke mwingine, anagoma kumpa talaka

    afuate hatua tu, amshtaki katika mabalaza husika, haki yake atapata fasta.... teh teh teh au ahame hapo anapoishi aende sehemu nyingine, na akirudi awe mjamzito then amuombe taraka hapo atatoa tu.
  14. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nachukia wanaume wanaopenda kuchezea wadogo wa wenzio

    wasikudanganye mwenzangu we endelea kuwachukia, ila ipo siku utawafurahia.
  15. E

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wagombea 30 ubunge wa CCM waliopitishwa kujiunga na UKAWA Jumamosi

    kwan kawaida mtu huoga na nguo?
Back
Top Bottom