Recent content by Epafras1 Eliah

  1. E

    Gharama za kusoma Canada zipoje?

    mkuu vipi kwa course ya dental lab technology kwa Canada haiko more considered Sana?? Nieleweshe mkuu
  2. E

    Muhimbili University(MUHAS) Special Thread

    Kuliko akawe daktari namshauri akawe mpambaji wa matangazo ya harusi kwa sababu atawaua wagonjwa kwa kuleta mzaha hivi hivi kwenye mambo ya msingi
  3. E

    Muhimbili University(MUHAS) Special Thread

    Ndo hawa kwenye mitihani yao ya taifa wanatucholea makatuni
  4. E

    Muhimbili University(MUHAS) Special Thread

    yeah nimekuelewa kaka! Shukran mno
  5. E

    Muhimbili University(MUHAS) Special Thread

    Oh kwa hyo hata kwenye mabonanza wanakuwa pamoja pia?
  6. E

    Muhimbili University(MUHAS) Special Thread

    Je, Na hao DDLT na DNm wanajumuishwa kwenye sherehe au matamasha mfano welcome first year ya muhas au wao hawashirikishwi??
  7. E

    Je, dental laboratory technology ni coarse nzuri yenye manufaa wakuu?

    Lol!! Grammar problems ndugu sidhan Kama hujaelewa! By the way shukrani kwa kuchangia
  8. E

    Je, dental laboratory technology ni coarse nzuri yenye manufaa wakuu?

    Habari zenu wakuu!! Je dental laboratory technology kwa ngazi ya diploma ni njema kwa maslahi binafsi na kwa nchi kwa ujumla? Nisaidien wakuu
  9. E

    Waliochaguliwa MUHAS diploma tukutane hapa

    Kuriporiti kwa sisi wa dental laboratory technology no jumamos trh 28. But sijajua kwa wengine coarse zingne
  10. E

    Waliochaguliwa MUHAS diploma tukutane hapa

    Nashukuru Sana ndugu mungu akubariki Sana kwa kunitia nguvu na hamasa
  11. E

    Waliochaguliwa MUHAS diploma tukutane hapa

    Mie nimewapigia wakasema wakituma kwenye email watatutarifu kwa offline sms
  12. E

    Waliochaguliwa MUHAS diploma tukutane hapa

    Bado tu mkuu! yaan watupandisha pressure
Back
Top Bottom