Muhimbili University(MUHAS) Special Thread

Muhimbili University(MUHAS) Special Thread

Dah axant xn kw ushaur mzr naamin one day ntaingiy muhimbil ila namb contact zko ikiwezkan....
d49596e2e2a477e646f728f292c4783f.jpg

Andika vizuri wewe, hivi ndio tunatarajie tukuite msomi kwa style hii ya uandishi?
 
MMeMeeTE="Joseverest, post: 24180668, member: 173455"]
d49596e2e2a477e646f728f292c4783f.jpg

Andika vizuri wewe, hivi ndio tunatarajie tukuite msomi kwa style hii ya uandishi?[/QUOTE]
Wakuu Joseverest na Evelyn Salt kijana bado kinda, ndo kwanza yuko advance, ila kwa shule ya PCB anayokula sikutarajia angeandika kwa mtindo huu! Tumsamehe bure tuh! Naamini kajifunza kitu!!
 
Dah axant xn kw ushaur mzr naamin one day ntaingiy muhimbil ila namb contact zko ikiwezkan....
Kwa uandishi huu nna mashaka na marinda yako.

Samahani mtoa mada nilitaka kumkumbusha kidogo huyu mtoto mchelemchele.
Axant xn kw upande wang umenikosh xn ume2fumbua mach kuijuw muhimbil... me ni mwnafunz wa PCB nnandoto zakuja muhimbili MD naomb ushaur wko...
 
Yani ujinga mtupu, mtu kafika hadi A level na ndoto zake za udaktari anaandika ujinga ujinga sijui ni nini hicho
Me nafkir mlokoment vby juuyang nyot ni zero brain coz ata hamuelewek kiukwel mmedeviate kabisa na thread...
 
Me nafkir mlokoment vby juuyang nyot ni zero brain coz ata hamuelewek kiukwel mmedeviate kabisa na thread...
Acha upumbavu wewe kijana,

Elewa ukielekezwa,

Usishupaze shingo itavunjika,

Una elimu ya kutosha kutuandikia upumbavu hapa,

Unaandika kama unawasiliana na visichana vyako ya kidato cha pili,

Halafu eti wametoka nje ya maada mshenzi kweli wewe,

Jirekebishe na huo uandishi wako la sivyo watu watakufukua mtaro muda sio mrefu
 
ww kuwa mstaarab bc coz km utuuzima ni hekima.... "mtaro utaanz kufukuliw ww pumbav moja ww"
 
Musa wewe chuo unaenda kufuata tablet sio, mwanafunzi wa KCMC unapata wapi ujasiri wa kuita MUHAS ni uchwara..!? nna mashaka hata kama kweli wewe ni mwanafunzi wa KCMC, sijui ni level ipi lakini wanafunzi wa KCMC nnaowajua tumekutana intern hawajawahi kuhaibisha chuo chao kama wewe unavyofanya!
 
ww kuwa mstaarab bc coz km utuuzima ni hekima.... "mtaro utaanz kufukuliw ww pumbav moja ww"
kijana mwenzangu heshimu watu uliowakuta humu, hii itakusaidia kupata manufaa humu JF.
Katu usidharau,kuponda au kukejeli mtu yeyote hapa JF na pia kuwa mvumilivu na muelewa pale unaporekebishwa. Ni hayo tu
 
muhimbili ni chuo cha uchwara bola kcmc tunapewa hadi tablet
Kama chuo unaenda kutafuta tablet ni sawa, ila kama unaenda kwa ajili ya kupata maarifa na elimu kwa manufaa yako binafsi na jamii kwa ujumla basi umepotea kijana
 
muhimbili ni chuo cha uchwara bola kcmc tunapewa hadi tablet
Sisomi MUHAS ila siwezi kukikosea heshima chuo hicho kikongwe maana walimu wengi wanaofundisha chuoni kwangu wamesoma huko, mapungufu yapo sawa na hiyo ni kawaida wala sio sababu ya kukibeza kimetupatia walimu wazuri kwa sisi wa hivi vyuo vipya kama AJUCO,st Joseph,KCMC,CUHAS ,HKMU na IMTU.
 
Dah axant xn kw ushaur mzr naamin one day ntaingiy muhimbil ila namb contact zko ikiwezkan....
Dogo kwa uandishi unategemea kuingia MUHAS kweli...!? Jaribu kujitathimini upya dogo acha ulimbukeni imekuwia ugumu gani kuandika hiyo sentesi kwa usahihi...

axant xn= Ahsante sana
kw= kwa
usahur= ushauri
mzr= mzuri
nitaingiy= nitaingia
namb= naomba
zko= zako
ikiwezekan= ikiwezekana
muhimbil= muhimbili
 
Back
Top Bottom