Kuwa na vidole nyingi (ku type mitandaoni) au tuseme ulimi (hata kama ni mmoja tu) siyo hoja pia, watu wanaangalia akili iliyotumika kusema chochote anachotaka kusema bin-Adam (au binadamu ukipenda)...
Mleta mada nilikusihi kwamba unaumwa akili... lakini nataka niseme kwamba sikumaanisha nikuudhi... nilitaka niku engage ili tujadili zaidi kwa nini nimesema hivyo... hata hivyo, kuambiwa unaumwa akili sio tusi...Nimesha futa hiyo post yangu na utanisamehe hata kama hatujuani kwani kama ulisikia...
Hakuna cha Mkapa wala cha Magufuli wala nani... wananchi wenyewe ndio tulivyo... kila nchi ina aina fulani fulani ya watu, na kwetu wananchi ndio walivyo, watapelekwa kila direction na viongozi kwa sababu viongozi wanajua kila kukicha wananchi walivyo... PERIOD!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kitu Malaika... sijui kuna yule anatamani apate uongozi pale mbinguni awaongoze maMalaika, mara awe mfagizi miongoni mwao, mara wewe unaota kivyako kuhusu hao maMalaika, unafikiri Mungu amekuumba ili uingilie mamlaka yake kuhusu ma Malaika??? Wa Tanzania kama nyie mlirogwa na nani??
Hiyo inaitwa 'stage fear'.... Ni concept ndani ya concept yenyewe.... watu wengi wenye stage fear wakipewa mike, sauti inaanza ku-vibrate... cha kushangaza ni kwamba hata kama hulioni umati uso kwa uso, unaweza ukashangaa bado tatizo lipo tu, ilhali unajua watu wanakusikia kwenye speaker...
Hali ilivyo, hata kama anatoka kazini kwa waChina au waAfrica au kwa mtu wa asili yoyote ile, mradi ana kazi...kwani wako wengi sana leo hii hawana kazi kwa muda mrefu sana...