Secular historians agree that Jesus was crucified but Muslims wanaamini Yesu hakusulubiwa according to their prophet who lived 5 centuries baada ya Yesu kuondoka 😂😂😂
Aonane na mwenye mbwa na sio mbwa. Namaanisha aonane na Mkurugenzi wa HR au msaidizi wake au KM au NKM ni watu wema sana na wasikivu sana.
Kuhusu kutenga bajeti sishauri, atatapeliwa! Zingatia mwenye mbwa na sio mbwa. Shinda ya mbwa hazina ustaarabu, zinaweza kukung'ata. Ningekua na mamlaka...
Akitaka ufe leo unakufa, au unabishi? Akiagiza uuawe unauawa!
Akiagiza hakuna kumtangaza mpinzani hata kama ameshinda uchaguzi na hatangazwi!!! Akiagiza tujifikize kwa mitishamba halafu wataalamu wakikosoa wanaadhibiwa!!! Ambaye hakosolewi si mungu huyo??
Mifano hai ipo mingi labda ujitoage ufahamu
Binafsi mimi sina shida na madaraka ya Rais lakini yale yanayomfanya awe kama mungu, hapana!!!
Madaraka yoyote yanayomfanya Rais awe kamungu hapa duniani, hayakubaliki!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.