Katambi na Madilu hawawezi kupigana wala watoto wao kuwapeleka front line, mtakufa nyinyi polisi na Jeiwii kapuku. Why die? Achana nao . Tenda HAKI

Katambi na Madilu hawawezi kupigana wala watoto wao kuwapeleka front line, mtakufa nyinyi polisi na Jeiwii kapuku. Why die? Achana nao . Tenda HAKI

..wale jamaa wasio na uniform wanaopiga wanachadema mahakamani, na wengine walionekana na bunduki wakiwa shoot waandamanaji sio usalama wa taifa? Au unataka kusema ni mamluki wanakodishwa tu?

..Tume ya Haki za Binadamu ya sasa hivi ni uozo mtupu. Tutapeleka ushahidi pale tutakapopata Tume ya kweli inalindwa na Katiba na Sheria.
Hiyo tume ya kweli hadi ipatikane si utakuwa mbabu tayari?
 
..kwani Abduli, Mchengerwa, na Wanu, watakuwepo kitaa kuzima maandamano?
Watakuwepo Militarized Police kama hawa,
Halafu mnachochea watoto wa masikini wakarushe mawe


1782649228389.png

1782649454668.png
 
Cheap threat

Ni hivi, wachochezi kama maria sarungi, mange kimambi, sativa na wengine wengi hawaishi hapa na wala hawatakuwepo kwenye vurugu, watakuwa wanafantilia mnavyouuliwa kwenye insta na x huku wakiposti ili kuongeza likes na kujipatia hela wakiwa wameweka miguu juu

Heche na wenzake itakuwa kama 29, watajifungia ndani, hakuna hata mmjoa atatoka
Haya sasa akili kukichwa, ni nani atadhurika kama sio wewe na wenzako?
Na safari hii bodaboda na wamachinga wamejifunza, hawataki kusikia huu ujinga wa vurugu huku wakikosa hela
Hivi huwa tunafikiri kati ya watawala na watawaliwa ni nani mvunjanji wa Amani namba moja? Nchi nyingi zilizoingia kwenye vita sehemu kubwa visababishi ni walioko madarakani; na sababu ni kama kung'ang'ania kukaa madarakani kwa muda mrefu, matumizi mabaya ya raslimali za nchi ikiwa ni pamoja na kuingia kwenye mikataba ya wizi ktk Mali za umma kama madini, n.k., ubadhilifu, upindishaji/ kibakizaji wa kesi na upokaji was haki, rushwa, undugunisation ktk ugawaji kazi katikautumishi was umma, utoroshaji wa maliasili, na mengine mengi yanayopindisha Sheria; wizi wa kura; na mengine mengi yasiyo zingatia siasa safi na uongozi bora.

Viongozi wanapofika mahali wakaacha kusikiliza wananchi waliowengi husababisha kufanya kundi la waliowengi kujiona wametengwa na kuona kama mgawanyo wa keki ya taifa unaenda kwa wachache ambao ndiyo watawala.

Vile vile tunahiaji kuwa na matazamo chanya. Hii habari ya kuwafikiria wengine kama waleta vurugu nadhani siyo mtazamo sahihi. Tunatakiwa tuone kuwa kila mwananchi yuko sawa kwa kuwa havunji Sheria. Tunapotanguliza 'vurugu', na 'wapigwe' tu, hatujengi taifa Bali tunachochea uhasama baina yetu - raia kwa raia, raia kwa askari, na au askari kwa askari. Lakini pia, busara na Hekima inatakiwa itumike kwani hata hao askari wana ndugu mwiongoni mwao; kwani unapo mwaga damu au kuumiza Mtanzania mwenzako unapata faraja gani ya Moyo? Tukumbuke kwamba mwanadamu anaishi kwa kumtegemea mwenzake. Hivyo, kujaliana na kupendana, kuvumiliana, na kupendana ni nguzo muhimu kwa kila mmoja wetu. Si sawa mwingine kujiona yu juu ya Sheria au anahaki ya kutumia raslimali za nchi kuliko mwingine.

Tuhimize upendo, kujaliana, kuvumiliana, uzalendo kwa nchi yetu. Hatuna nchi nyingine mbadala. Tujenge nchi yetu kwa Moyo. Raslimali za nchi zimfaidishe kwa usawa kila Mtanzania, zisiwe kwa kwa kundi fulani tu la wachache kuepuka kuchochea hasira miongoni mwa wengi ambao mwisho wa siku wanajiona kudhurumiwa.

Viongozi na nyie wote wenye mamlaka, msiwaone wananchi kana kwamba muda wote ni waharifu. Ongozeni kwa HAKI; na AMANI ya kweli itapatikana.
 
Watakuwepo Militarized Police kama hawa,
Halafu mnachochea watoto wa masikini wakarushe mawe


View attachment 3617527
View attachment 3617531

..hao unaoita militarized police ni watoto wa masikini wanaotumika na mabwa nyenye ya Ccm kuuwa masikini wenzao wanaodai haki.

..kati yao hao militarized police niambie kama kuna hata mmoja anayesomesha wanae english academy, au akiumwa mafua anatibiwa India.
 
Kwani wameitisha maandamano?!!! Kuzuia wafanya vurugu hakuwahusu wao kwani sio vyombo vya dola vyenye wajibu wa kushughulika na wavunjacamani. Ila kina heche na mnyika ni muhimu kuwepo kwenye maandamano spyao ya vurugu wanayoyaita sababu ni wao wanayoyaita.

..Abduli, Mchengerwa, na Wanu, ndio wakawashughulikie waandamanaji. Tumechoka watoto wa masikini kutumikishwa.
 
Sudan ya Bashiru ilitolewa na nani?
Du! yaani unawafananisha Wasudan walionza kutiana risasi na kukimbizana tokea 1955 na nyumbu wa Tanzania wanaobwekea mitandaoni?..
Wasudan na sisi tunafanana rangi tu ndugu mindset ziko mbingu na ardhi..
Kazi yetu kelele tu huku mitandaoni halafu tunafungiwa ndani kama kuku na kuzimiwa internet 🤣 🤣
Kizazi
cha ovyo kabisa.... kama hamwezi kazi tulizeni mishono tendelee kupigwa 🖕 na system siyo kuhangaishana kise**e kila kukicha..
 
Ukraine na Russian ktk VITA yao uliona mtoto yeyote wa viongozi anakufa.?

Tofauti na raia wasio na hatia na wanajeshi n.k

Dunia ya kisiasa , ukiishabikia lazima wewe shabaki uwe ndo biashara yenyewe.

Moja ya mambo ambayo naona watu wanapoteza muda ni hizi siasa.

Hakuna Chama chochote duniani kipo kwa ajili ya wananchi na hakitakuja kuwepo vyama vipo kutimiza ajenda zao na personal interest and nothing else.
Russia wameajiri mercenaries.

Hakuna Askari wa Russia anapigana

Ukraine hawatumii askari, wanarusha drones.

Huwezi kushinda vita kama wananchi wako, hawako upande wako.
 
Kwani nyerere alivyosema tutampiga Nduli Idd Amin alitanguliza watoto wake!? Katambi aongee vitu serious asiongee kama comedian. Wanaoshinikiza maandamano ndo watoto wenyewe hawahitaji watoto wa watu wengine.
Kuna watoto wa Nyerere walienda vitani Uganda
 
Back
Top Bottom