Habari wakuu!
naomba kufahamishwa juu ya ugonjwa huu unaoitwa autisim huu ugonjwa nahisi anao mtoto wa kaka yangu nasema hivo kwa sababu kuu zifuatazo!
1. huyu mtoto amekuwa ni Kama vile anatatizo kwenye ubongo,
2.ni mtu wa kujitenga Sana na Ana hisia Kali Sana
3.pia mpaka Sasa anaongea kwa...
bonjour wana jf ! umri wangu ni miaka 32 ni mfanyabiashara naishi singida, Elimu yangu ni chuo. nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo ili awe mke wangu ! awe mcha mungu dini yoyote,awe na umri wa kuanzia miaka 20 hadi miaka 30 asiwe mnene sana , Mwenye uhitaji aje PM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.