Recent content by enterior desgner

  1. enterior desgner

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Katikati ya mpanda na kigoma kuna pori wanauza chakula
  2. enterior desgner

    JamiiForums Tanzania Dar: Mtoto wa miaka 17 ampiga risasi mtoto mwenzake na kumsababishia kifo

    Miaka 17 siku hzi wananyanduliana mamanzi
  3. enterior desgner

    JamiiForums Tanzania Dar bila Makonda imepoa sana. Jamaa alikuwa anachangamsha mji

    Niache kuchangamshwa na pisi kali na vinywaji murua nichangamshwe na r.i.p
  4. enterior desgner

    JamiiForums Tanzania Ijengwe shule moja ya computer kila Kata

    Utaleta wizi nchin kama nigeria
  5. enterior desgner

    JamiiForums Tanzania Msaada kisima changu kimejaa chura

    Wauze guanzoo
  6. enterior desgner

    JamiiForums Tanzania Hivi zile risasi zinazopigwa juu hazina madhara?

    Ingekuwa nzito kama kg 5 ingekuja imeivaa speeed zoote. Lakin kale ni kachuma kanachomoka kwa pressure ya baruti . So kakirudi ni kama wewe kurusha gorol juu af utegemee ikupasue ubongo
  7. enterior desgner

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini niwe na furaha?

    Soma vitabu, kaa ufukweni, sikiliza sauti za asili mfano ndege, wadudu kama vyura sauti za maporomoko ya maji. Itakufanya moyo ufunguke sana
  8. enterior desgner

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Maji kutoka Ziwa Victoria mpaka Dodoma

    Sasa shauri yako na ujinga wako miaka hamsini unaishi ziwani ujawahi vua samaki wako mwenyewe
  9. enterior desgner

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Maji kutoka Ziwa Victoria mpaka Dodoma

    Waache kujadili upuuz Wawafikilie kwanza watu wa mwnza, maji buhongwa yanatoka mara mbili kwa week na kutoka ziwan ni km 5 tu. Mwanza nzima ni 25% ndo wanapata huduma ya maji 24hr
  10. enterior desgner

    JamiiForums Tanzania Je, kuoa kabla ya kufanikiwa kimaisha ni kujirudisha nyuma kiuchumi?

    Hizo ni stor za picha wangu Ili upate moe wa kuendanan wa wewe mtafute kipindi huna kitu kabisaa, ukifanikiwa kimaisha kila mwanamke atakupenda tu. Jambo ambalo si jema kwenye maisha ya sasa
  11. enterior desgner

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla fanya haya kisha nishukuru baadaye

    Ukitaka kuiona nyumba yako vizuri kaa kwa jirani
Back
Top Bottom