Dar bila Makonda imepoa sana. Jamaa alikuwa anachangamsha mji

Dah wabongo shida sana nyie wenyewe mlitaka apigwe chini sasa hivi mnamlilia tena arudi dah
 
Unataka habari zisizo na utekelezaji zinakusaidia nini, Mkuu mpya anajipanga hakirupuki.
Alikuwepo Makamba alikuwa na mbwembwe sana tu kama Makonda lakini hakufanya la maana
 
Akili ya Makonda na matendo yake Ni Kama wale wanawake wavaa Madera wa Temeke na Mbagala. Ndio maana alikutana nao kutatua matatizo yao ya kuzaa na waume za watu.
 
Bashite Bashite Bashite...
Hujaona tetemeko aliloleta RC mpya wa Dar??
Katembeza tetemeko mpaka Kenya..

Mji umepoa kwa mambo ya kijinga..
Sasa hivi watu wapo serious na mambo ya msingi..

Everyday is Saturday........................... :cool:
 
Jamaa aliwakusanyaa Watu ili Awaambiw Wasikasanyikeee yani mulee Kichwani hakunaa kituNa aombee baba yake amkumbuke tenaa yani asalii sanaa maana Magu ndo mtu pekee anaweza mbebaa na kumpa nafasi tule jingaa

Wakati mikusanyiko imezuiwa yeye kakusanya maelfu akawaeleza wasikusanyike ana balaa sana jamaa
 
Huu mkoa kwa sasa hata habari zake sio nyingi sana kwenye vyombo vya habari.

Jamaa alikua anatia kashkash mara atunge hili halijaisha waandishi washaitwa, hatujakaa sawa mara kishapiga mkwara.

Makonda akiamka asubuhi ashavaa nguo za chama ameenda kukusanya wenzie huko yuko kwenye mishemishe sijui kama hata ofisini alikua anakaa yule jamaa.

Kama leo issue ya SADC angeshaita waandishi na ameielezea kama muhusika mkuu vile.

Mara kalia kanisani ilimradi vurugu au mara aseme anakula raha dunia nzima jamaa alikua anapenda media hatari.

Hicho ulichokuwa unakiona ni moja ya sifa ya mtu asiyejua majukumu yake precisely, yaani kila akiamka anatafuta kitu cha ku make headlines....
 
Niache kuchangamshwa na pisi kali na vinywaji murua nichangamshwe na r.i.p
Huu mkoa kwa sasa hata habari zake sio nyingi sana kwenye vyombo vya habari.

Jamaa alikua anatia kashkash mara atunge hili halijaisha waandishi washaitwa, hatujakaa sawa mara kishapiga mkwara.

Makonda akiamka asubuhi ashavaa nguo za chama ameenda kukusanya wenzie huko yuko kwenye mishemishe sijui kama hata ofisini alikua anakaa yule jamaa.

Kama leo issue ya SADC angeshaita waandishi na ameielezea kama muhusika mkuu vile.

Mara kalia kanisani ilimradi vurugu au mara aseme anakula raha dunia nzima jamaa alikua anapenda media hatari.
 
Huu mkoa kwa sasa hata habari zake sio nyingi sana kwenye vyombo vya habari.

Jamaa alikua anatia kashkash mara atunge hili halijaisha waandishi washaitwa, hatujakaa sawa mara kishapiga mkwara.

Makonda akiamka asubuhi ashavaa nguo za chama ameenda kukusanya wenzie huko yuko kwenye mishemishe sijui kama hata ofisini alikua anakaa yule jamaa.

Kama leo issue ya SADC angeshaita waandishi na ameielezea kama muhusika mkuu vile.

Mara kalia kanisani ilimradi vurugu au mara aseme anakula raha dunia nzima jamaa alikua anapenda media hatari.

Kawaida ya makondakta wa daladala huwa wanapiga sana kelele. Sasa huyo Makonda alikuwa hana tofauti sana na hao makondakta.
 
Huu mkoa kwa sasa hata habari zake sio nyingi sana kwenye Vyombo vya Habari. Jamaa alikua anatia kashkash mara atunge hili halijaisha waandishi washaitwa, hatujakaa sawa mara kishapiga mkwara.

Back
Top Bottom