Recent content by Englishlady

  1. E

    JamiiForums Tanzania Serikali ikikupendeza wajazeni watumishi wa umma mshahara kesho kwa ajili ya Pasaka

    Tumetofautiana sana. Kuna mfanyakazi mwenzangu akawa anaomba utoke baada ya sikukuu, alionq ataumaliza, mapema, mi nikamwmabia jumamosi lazima, na ujibane usiende kuchukua .by ze way, mtumishi aliyeelemika, alitakiwa ajipange mshahara wa mwezi wa 3, kusubiria mshahara huuz nikujitafutia mawazo...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kwa Wadada/Ladies/Wanawake/Wamama tu

    Thanks alot.
  3. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii mimba itakuwa ya nani?

    Kama tarehe umezitaja sawasawa basi kijana wa kwanza alikutana naye siku ya 10 ambayo hakuwa na sababu ya kunywa P2 ilikuwa siku salama labda kama mzunguko wake wa period ni mdogo sana. Na kijana B alikutana naye siku ya 14 siku ya yai kupevuka, siku hatarishi saa kwa wale wasiotaka mtoto...
  4. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Juliana shonza; Waambie wanawake wenzako kama hawawezi kuhudumia watoto wao wawapeleke kwa Baba Zao full stop na sio hizo ngonjera ulizotoa

    Kama baba .mwenye akili, na unawaza kuwa ke anachukua hela za mtoto kwa starehe, kalipie ada shule, mnunulie mtoto material things kama woana mke anafaidi sana. Ni kosa kubwa kumhukumu mtoto kwa ugomvi wenu.
  5. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Twaha Mwaipaya akata rufaa Baraza Kuu kupinga kuenguliwa kugombea Ujumbe wa Kamati Kuu

    Ni wewe Unajulikana since then. Na hapa kwa mtu mwenye akili akisoma between lines, anakutambua ni wewe. Yaani na wewe umekatwaa, kweli siasa mchezo mchafu.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa yuko korokoroni kwa kumtetea Lissu, halafu Lissu anasema aliyemleta Lowassa na kuiua Chadema siyo Mbowe ni Dkt. Slaa. Lissu ni next Level

    Slaa huyuhuyu aliyehama chama kwasababu ya Lowasa kwa hasira na kashfa za kutosha, ndiye aliyekuwa mgombea uraisi akanyang'anywa tonge Leo hii isemwe kuwa ni yeye ndiye alimkaribisha Lowasa ..acheni kutufanya mamburula jamani....naukumbuka sana ule wakati kuliko wakati mwingine wowote
  7. E

    JamiiForums Tanzania Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa: Hili Bango ndio kaburi la Mbowe

    Hivi huoni kama ni maarifa hayo? Mpaka chadema wanantukanana wenyewe kwa wenyewe, don't you see kwamba ni magenius...maarifa gani mnataka nyie watu? Leo Ritered na Salary Slip wanaumana? Ha ha ha ha What a pity!!!
  8. E

    JamiiForums Tanzania Wakati CCM wanashangilia mabasi, CHADEMA wanatafakari nani anafaa kuwa kiongozi wao!!

    Kwani hujui kuwa mbasi ni maendeleo? Acha upofu banaaa...hata nyumbani kwkao ukinunua taa ya ndani unashangalia umeendelea. Kuhusu uongozi kwani ccm ina uchaguzi Sasa? Viongozi wapo tayari kwao sio agenda kwa Sasa. Hivi kweli chadema wanatafakari nani awe kiongozi au wanaparurana kulingana...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Nimenyimwa kibali baada ya kuomba kujenga Magereza binafsi

    Wewe ndio una low thinking. Au utueleze kwanza, gereza binafsi utatoaje huduma? Kwamba mfungwa akihukumiwa kifungo, atakfika kwenye gereza lako na atalipia yeye ama serikali? Unafikiri magereza ni biashara?
  10. E

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kwenda sehemu, baada ya kukuona wakakuchukulia poa, baadaye wakajua wewe ni mtu wa aina gani, wakaanza kukuonea aibu?

    Eti akubali kupanda na lift kabisaa....kwani hawana uso wa haya.....chai yake haina sukari ya kutosha
  11. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kosa la kiufundi la wanaume linalopelekea kupata wenza wasiofaa katika maisha ya ndoa zao!

    Huyo anakupenda sasa.
  12. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kosa la kiufundi la wanaume linalopelekea kupata wenza wasiofaa katika maisha ya ndoa zao!

    Yuko sahihi sana. Utakuta limtu linatongoza miaka, hivi huwa hamuoni kama hupendwii? Mi nikipenda wala mwanaume hatumii nguvu, ni mterezo tu.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kike kapotea tokea siku ya ijumaa

    Mwacheni aolewe, mnamtafuta wa nini?
  14. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ina hali tete

    Ulimdanganya umri wakati unamtongoza? Amekua mwaka huu kubwa umemzidi sana? Na je anafikiri unakwama wapi kwa umri huo ulizidi? Kuna mahali umeshindwa kupafom?
  15. E

    JamiiForums Tanzania Mungu mkuu, Mfalme Suleiman na Ars Goetia (mapepo 72 ya kuzimu)

    Point of correction, Suleiman hakupewa utajiri wa bure, alifanya kazi sana karibia kila sekta, na Mungu akambariki kila mahali alipogusa. Huyu jamaa alisoma sana wala hakubweteka. Utajiri unatunzwa na Mungu pekee, shetani hajawahi kumtakia mtu mema, mpaka amlindie utajiri wake....
Back
Top Bottom