Recent content by Enginier

  1. Enginier

    Nafungua mgahawa

    Nina eneo goba ready for use, njoo ulione. nicheki DM if interested
  2. Enginier

    Natafuta wataalamu wa blockchain Technology

    Unaweza jifunza kitu hapa pia t.me/cryptopierpump
  3. Enginier

    Freelance software developer

    Ntakutafuta.. Ungeweka na list ya kazi zako ingekua nzuri zaidi
  4. Enginier

    Zuku Sattelite Dish For Sale

    Nashukuru sana BRO SANTANA, ila kwa hiyo bei haina maslahi
  5. Enginier

    Zuku Sattelite Dish For Sale

    Nauza dish la zuku na vifaa vyake (decoder, dish,remote) limetumika kwa mwaka mmoja. Bei 50,000/= ninapatikana Dar es Salaam
  6. Enginier

    Fundi Milango ya kichina/jeshini

    Hansdoors pia wanayo
  7. Enginier

    Fundi Milango ya kichina/jeshini

    Picha hiyo hapo
  8. Enginier

    Fundi Milango ya kichina/jeshini

    Wengine wanaiita ya kichina wengine wanaiita ya jeshini Sio yakichina jeshini
  9. Enginier

    Fundi Milango ya kichina/jeshini

    Nahitaji fundi wa milango ya kichina (ya jeshini) haraka. Mwenye namba tafadhali naomba Update. Nimefanikisha. Asanteni
  10. Enginier

    Video: Sehemu ya hotuba yangu nikitangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mwigulu Nchemba juzi kwa mara ya kwanza nilikuelewa. Nitakuunga mkono chama chako kikikupitisha. Hongera kwa kuthubutu
  11. Enginier

    Pengo awalipua Maaskofu, asisitiza uamuzi wa aina ya kura ni wa mtu binafsi

    Toa alama ya kuuliza. Hilo ndio jibu
  12. Enginier

    Laptop on Sale: Acer Aspire 5733

    I failed to delete the post. Item Sold
  13. Enginier

    Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Mimi sina uzoefu sana na madawa ila Tuna system kwa ajili ya pharmacy. Katika kuwasaidia wateja kuingiza stock na kuseti system naona. Ukiwa na eneo zuri biashara inalipa sana maana huwa naangalia bei ya jumla na jinsi tunavyo Uziwa reja reja tofauti Ni kubwa. Pia mwenye duka mmoja alishaniambia...
Back
Top Bottom