Natafuta wataalamu wa blockchain Technology

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,332
1,009
Habari wakuu. Kama Kuna wataalamu wa blockchain technology na wenye uelewa wa cryptocurrencies naomba wanicheki WhatsApp 0768734611. Kuna project nataka kufanya na kampuni ya nje ila nataka mtu mwenye technical knowledge kunipa support. Mimi si Programmer.
 
Mkuu samahani naomba unielezee kidogo kuhusiana na izi cryptocurency maana bado nnipo gizani kidogo
 
Here I am with more than 3 years experience.
 
Mkuu samahani naomba unielezee kidogo kuhusiana na izi cryptocurency maana bado nnipo gizani kidogo
mkuu kwa harak haraka hizi ni fedha za kimtandao yaani sio halisi kama hizi za karatasi za kushika hapa utakutana na pesa kama bitcoin na etherium thamani ya pesa hii ni tofauti na pesa za kawaida sababu hizi hazitumiki kwenye maisha ya kila siku hivyo thamani yake inapangwa na wataalamu wenyewe na baadae inaendelea kuongezeka au kupungua kutokana na mwitikio wa watu kwenye soko husika mfano bitcoin zipo limited in supply kwaiyo watu wanagawana coin hizo hizo mahtaji yake yakiongezeka na thamn inapanda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom