Recent content by Engineer L

  1. Engineer L

    Mwendokasi ni mateso!!

    Hivi humu hatuwez pata muwekezaji mpya ???
  2. Engineer L

    Mkwasa ni mtendaji sio kiongozi

    Vpi tena kuna mtu kagoma kuingia uwanjani ???
  3. Engineer L

    MATATIZO YA YANGA NDIYO YALIYOWAPA UBINGWA SIMBA, HILO WALITAMBUE

    Umechambua vzuri tatizo ushabiki mwingi..."heading" yako ina walakini Simba angekua bingwa tu hata kama mngekua hamna matatizo..Mambo ni kupokezana..
  4. Engineer L

    Abdi Banda atwaa tuzo ya mchezaji bora

    Safi sana aongeze juhudi na tumuone pia Taifa stars Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  5. Engineer L

    Maoni Yenu Wajuzi wa websites wenzangu

    Mkuu nakupongeza kwa wazo zuri...Ili ufanye uwekezaji mzuri achana na free web,pili hyo "layout" kwa simu unaweza kuifanya ikawa vzuri zaidi na tatu Angalia lugha kama unawalenga wakulima basi weka kiswahili kote..
  6. Engineer L

    UCL FAINAL 2018: Liverpool baada ya kuwatoa AS Roma sasa kukwaana na Real Madrid katika mchezo wa fainali

    Naona uchambuz wenye ushabiki huu....Sasa ulitaka uingereza aisifie Barcelona au?...Kila mtu anasifia cha kwake....Liverpool mlianza kusema hv hv toka round ya makund haya sasa kafika fainali...
  7. Engineer L

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Pombe inaonekana kusifiwa na kutangazwa kwa mbwembwe....ila waliopatwa na madhara hawana ham (kisukari,family problem,work problem and.....) Kuokoka pekee ili Roho mtakatifu akusaidie kushinda hilo ila si mbnu za kawaida
  8. Engineer L

    Jeshi la Israel sasa kutumia ndege za kivita F-35 zenye uwezo mkubwa

    Biblia si kitabu cha fasihi...ni Neno la Mungu na kudhihirisha si fasihi kila lililoandkwa kimetimia na kitaendelea kutimia.....Suala la Israel halikuanza leo wala jana fatilia historia ndgu
  9. Engineer L

    Jeshi la Israel sasa kutumia ndege za kivita F-35 zenye uwezo mkubwa

    They introduce new technology...who didnt remember the so called six days in june...How Israel defend those five arab nations within few minutes?...the superior of Israel is biblical and no one can stop that
  10. Engineer L

    Mnyika unakumbuka shuka asubuhi kunakucha. Maji jimboni ulisahau ukakalia sif...

    Sijaona hoja yenye mashiko...Mnyika amejitahd tatizo mamlaka ya maji
  11. Engineer L

    Waislamu wakipewa kutawala dunia kutakuwa na amani?

    na jihadi je ........Wakristo wamewekeza kwenye maarifa na kuhoji tofauti na hao wajamaaaa
  12. Engineer L

    Kwanini viongozi wa Serikali Wakristo huvaa Kiislamu?

    Kila jambo hua lina maana .....lazima hao viongozi wawe makini......
Back
Top Bottom