Maoni Yenu Wajuzi wa websites wenzangu

Maoni Yenu Wajuzi wa websites wenzangu

Joined
Mar 26, 2018
Posts
76
Reaction score
38
Nimetengeneza simple website ambayo Itawakutanisha wakulima na wafanya biashara mbalimbali wa mazao. website hii itakua inaweka matangazo ya wakulima au wafanya biashara ambao wanauza mazao yao. Na lengo ni kuwakutanisha tuu na biashara wataifanya wao, itakua kama sehem ya kutangaza, naomba uingie hapa uicheki kisha naomba maoni yako kipi kifanyike ili niboreshe zaidi
KILIMO SOKO
 
Website iko vizuri ila kuna mambo machache nadahani inabidi uyaangalie upya.
1. Button / link ya 'about' haifanyi kazi.
2. Terms & conditions za site yako hakuna.
3. Link ya kujaza form ya kutangaziwa bidhaa inanitoa kabisa kwenye site yako. Tengeneza form kwenye site yako na kila kitu kifanyike ndani ya site yako.
4. Hakuna sehemu ninapoweza ku-upload picha za mazao yangu.
5. Search button haifanyi kazi.
6. Taarifa ya kwenye fomu ya kutangaziwa mazao (bei na kiasi cha mazao) inachanganya.
7. Ukijaza fomu updates ya taarifa nilizojaza sizioni kwenye website.
......
Kwa sasa niishie hapo.
Lengo si kukukatsha tamaa bali usonge mbele na system yako
 
Mkuu Asante sana Kwa mawazo yako Vipengele vyote ulivosema navifanyia kazi na naamini mfumo huu kwa vipengele ulivotaja nikivifanyia kazi am sure system hii itafika mbali asante sana kaka
 
Website iko vizuri ila kuna mambo machache nadahani inabidi uyaangalie upya.
1. Button / link ya 'about' haifanyi kazi.
2. Terms & conditions za site yako hakuna.
3. Link ya kujaza form ya kutangaziwa bidhaa inanitoa kabisa kwenye site yako. Tengeneza form kwenye site yako na kila kitu kifanyike ndani ya site yako.
4. Hakuna sehemu ninapoweza ku-upload picha za mazao yangu.
5. Search button haifanyi kazi.
6. Taarifa ya kwenye fomu ya kutangaziwa mazao (bei na kiasi cha mazao) inachanganya.
7. Ukijaza fomu updates ya taarifa nilizojaza sizioni kwenye website.
......
Kwa sasa niishie hapo.
Lengo si kukukatsha tamaa bali usonge mbele na system yako
watu kama wewe mukiwepo tutaendele sana.. ahsante sana kaka nami nimejifunza hpa
 
Website iko vizuri ila kuna mambo machache nadahani inabidi uyaangalie upya.
1. Button / link ya 'about' haifanyi kazi.
2. Terms & conditions za site yako hakuna.
3. Link ya kujaza form ya kutangaziwa bidhaa inanitoa kabisa kwenye site yako. Tengeneza form kwenye site yako na kila kitu kifanyike ndani ya site yako.
4. Hakuna sehemu ninapoweza ku-upload picha za mazao yangu.
5. Search button haifanyi kazi.
6. Taarifa ya kwenye fomu ya kutangaziwa mazao (bei na kiasi cha mazao) inachanganya.
7. Ukijaza fomu updates ya taarifa nilizojaza sizioni kwenye website.
......
Kwa sasa niishie hapo.
Lengo si kukukatsha tamaa bali usonge mbele na system yako
Umeongea kutoka moyoni thanks kwa niaba pia
 
Nimetengeneza simple website ambayo Itawakutanisha wakulima na wafanya biashara mbalimbali wa mazao. website hii itakua inaweka matangazo ya wakulima au wafanya biashara ambao wanauza mazao yao. Na lengo ni kuwakutanisha tuu na biashara wataifanya wao, itakua kama sehem ya kutangaza, naomba uingie hapa uicheki kisha naomba maoni yako kipi kifanyike ili niboreshe zaidi
KILIMO SOKO
Layout yako mkuu jaribu kuweka hizo picha na maeleze zilingane mfana picha yapili ina margin pembezoni ila ya kwanza imekaa vizuri ni hayo tu
 
Ukinunua domain tumia oclass au yclass ni rahisi na haraka
Hiyo Oclass au Yclass ikoje? inatumiwaje? na Domain ambayo hai-limit ukubwa katika storage ni ipi? na inauzwaje? malipo yake yakoje kwa mwezi au kwa mwaka?
 
Website iko vizuri ila kuna mambo machache nadahani inabidi uyaangalie upya.
1. Button / link ya 'about' haifanyi kazi.
2. Terms & conditions za site yako hakuna.
3. Link ya kujaza form ya kutangaziwa bidhaa inanitoa kabisa kwenye site yako. Tengeneza form kwenye site yako na kila kitu kifanyike ndani ya site yako.
4. Hakuna sehemu ninapoweza ku-upload picha za mazao yangu.
5. Search button haifanyi kazi.
6. Taarifa ya kwenye fomu ya kutangaziwa mazao (bei na kiasi cha mazao) inachanganya.
7. Ukijaza fomu updates ya taarifa nilizojaza sizioni kwenye website.
......
Kwa sasa niishie hapo.
Lengo si kukukatsha tamaa bali usonge mbele na system yako
Samahani, Mkuu!
Domain nzuri ambayo haina limitation ya ukubwa ktk storage ya vitu vyako ni ya kampuni gani?
Malipo yake yakoje kwa mwezi au kwa mwaka?
 
Nimetengeneza simple website ambayo Itawakutanisha wakulima na wafanya biashara mbalimbali wa mazao. website hii itakua inaweka matangazo ya wakulima au wafanya biashara ambao wanauza mazao yao. Na lengo ni kuwakutanisha tuu na biashara wataifanya wao, itakua kama sehem ya kutangaza, naomba uingie hapa uicheki kisha naomba maoni yako kipi kifanyike ili niboreshe zaidi
KILIMO SOKO
Mkuu nakupongeza kwa wazo zuri...Ili ufanye uwekezaji mzuri achana na free web,pili hyo "layout" kwa simu unaweza kuifanya ikawa vzuri zaidi na tatu Angalia lugha kama unawalenga wakulima basi weka kiswahili kote..
 
Back
Top Bottom