Toka mwaka 1974 nyie mmekuja 2014 na kuanza chokochoko mlikuwa wapi miaka yote ,shida mbeya sehemu zote ambazo ziko wazi na zina thamani kwa sasa wahuni kama nyie mnakuja na kusema hamjalipwa
Mfano mwingine ni eneo la airport ya zamani ilipojengwa shule ya magufuli English medium baadhi wahuni...
Kuna muda inabidi waambiwe ukweli waache uhuni ,ndio maana sehemu kubwa ya jiji imejengwa kiholela lakini sehemu kubwa ya jiji miaka ya nyuma ilikuwa imepangwa na kupimwa na lakini hawa wanaojiita wenyeji wa asili wakija wanavamia maeneo ya barabara ,umma na taasisi kwa kusema babu zao...
Kwa bahati nzuri mgogoro huu naujua pia mm niseme ndugu zangu achaneni na ujanja ujanja na kuvunja sheria ,pia kupotosha watu ,hili eneo lipo kwenye hatimiliki pamoja na maeneo mengine ya Tari toka miaka hiyo nchi inapata uhuru ,eneo hili lilikuwa pori baadae mji ukaendelea ukalizunguka .
Miaka...
Mimi naona mdau aliyetoa taarifa kuwa mwenzetu ametangulia mbeye ya haki hajafanya kosa lolote sababu watu wengi apa walitaka kujua anaendeleaje .....Ila Ili la kusambaza picha zake HAPANA, sio jambo zuri
Sometimes kama unatumia computer na access internet kupitia cable uwa inaleta shida....kama una modem tumia iyo kufungua iyo website ya bodi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama niliona sehemu kuwa bodi 2017/18 itatoa mikopo kwa wataosoma diploma ya science/ mathematics with education na diploma ya primary school education ( mathematics/ science)
Msaada wenu wakuu kwa anayejua vizuri hii issue imekaa vipi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa watu walio mbeya town na tupo interested na hii kitu tunaweza kuwasiliana hata kukutana physically tukabadilishana experience, skills na pia kufanya mipango kwa pamoja tutahudhuria vp pindi za mkuu ontario
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.