Recent content by ENGI

  1. E

    Waliokopa HESLB wapewa siku 60 kabla ya majipu yao kutumbuliwa

    List ya wadaiwa wa Loan Board ipo wapi, nimetafuta kwenye web site yao sijona, mwenye kujua anisaidie please
  2. E

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Inachekesha lakini ni nzuri
  3. E

    Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

    Ubarikiwe sana mkuu kwa maelezo yako mazuri sana aisee...
  4. E

    Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

    Hongera sana mkuu, unaweza ku share nasi jinsi ulivyoweza kuisimamia biashara yako vizuri hadi mpaka sasa inakuwezesha kupata gari ya tatu. Pia naomba kujua Zanzibar unanua sh ngapi, gharama zote hadi inaingia barabarani kuanza kazi ina range kwenye sh ngapi na pia kwa siku dereva analeta sh...
  5. E

    Biashara ya kampuni ya usafi (cleanig company)

    Thanks much mkuu.... Ubarikiwe sana.. Maelezo yako yamekuwa valuable asset kwangu... Umenipa maelezo mazuri sana.
  6. E

    Biashara ya kampuni ya usafi (cleanig company)

    OK IPILIMO. Kwa sasa nimeshaanza mchakato wa BRELA.. Nikimalizana na Brela naweza kukutafuta kujua way forward na niweze kusajiri kwenye institution nyingine kama TRA na halmashauri. Ntashukuru kama utanisaidia kujua Kampuni ya usafi ina operate under institution gani? Kwa mfano kampuni ya...
  7. E

    Biashara ya kampuni ya usafi (cleanig company)

    Ok ok mkuu.... Ngoja nimalizane na issue za registration then tutaangalia jinsi ya kufanya biashara.
  8. E

    Biashara ya kampuni ya usafi (cleanig company)

    Habari Wakuu Nataka kufungua kampuni ya usafi, ambayo itakuwa inafanya usafi katika maofisi, manispaa, mashuleni, majengo ya biashara nk. Naomba mwenye details za kutosha za jinsi ya kusajiri kampuni na hatimaye kufungua kampuni ya usafi anisaidie. Najua hatua ya kwanza natakiwa niende Brela...
  9. E

  10. E

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Hongera sana mkuu.... watakuja tu wataalamu wa humu JF kukupa ushauri.... nimependa sana style ya ufugaji wako
  11. E

    Lifahamu kiundani zao la Nyanya chungu (Ngogwe) na jinsi ya kulilima

    Thanks Kubota kwa kuleta uzi huu. Shukrani pia kwa wachangiaji wote. Nina maswali machache kuhusu hili zao hope Kubota, Malila, Mama Timmy, Goodmother au yeyote atakaepitia huu uzi anaweza kunisaidia 1) Kigamboni Dar Es Salaam linaweza kustawi? 2) Kama jibu la kwanza ni ndio, ni miezi ipi mizuri...
  12. E

    Ufugaji na kilimo unalipa sana

    Hongera sana mkuu. Umejiwekea malengo mazuri sana, Big up sana. Business yako imeenda vizuri sana na imekuwa vizuri sana. Thanks kwa kuweka huu uzi hope tutajifunza mengi sana
  13. E

    Natafuta Shamba

    OK! Nashukuru sana Mama Joe, nami ngoja nifanye michakato, Mungu akipenda tutajumuika huko pamoja.
Back
Top Bottom