Recent content by Eng. Y. Bihagaze

  1. Eng. Y. Bihagaze

    Wana CHADEMA tuzungumzie mustakabali wa chama

    na Magufuli Kura za kubadili katiba aendelee kwa miaka kumi mingine atapigiwa na wengi ama wanajielewa au hawajielewi UTAJUA,..inshu si wengi..., UTAONA.. . TUONE..
  2. Eng. Y. Bihagaze

    Wana CHADEMA tuzungumzie mustakabali wa chama

    haya sawa buana.. ah!
  3. Eng. Y. Bihagaze

    Dr. Slaa: Mfuko wa cement utakuwa Tshs 5,000.. Ni KWELI 100%

    nakumbuka hii thread bado ipo na INAWEZEKANA
  4. Eng. Y. Bihagaze

    Wana CHADEMA tuzungumzie mustakabali wa chama

    hii sio Chadema ya Kuendekeza, wacha lizame.. tujenge nchi.. chadema izame ife ipotee ikwishe.. watu gani hawasikii, hawaoni, hawatafakari, hawajiulizi..
  5. Eng. Y. Bihagaze

    Wana CHADEMA tuzungumzie mustakabali wa chama

    corona ni Ugonjwa wa msimu, december hadi April mafua yanakwisha, ni badiliko la majira ya aphelion na pelihelion yanayo badilika baada ya miaka 400, mwanzoni ilikuwa january to May sasa ni december to April, itasumbua miaka zaidi ya saba. HAKUNA CHANJO WALA KIDHIBITI HALI HII. NI MOVEMENT...
  6. Eng. Y. Bihagaze

    Wana CHADEMA tuzungumzie mustakabali wa chama

    ndio mtakeshaga na akili hizo hizo
  7. Eng. Y. Bihagaze

    Wana CHADEMA tuzungumzie mustakabali wa chama

    Chadema tuongeeni kidogo Ndugu zangu wanaChadema tumepoteza kabisa welekeo! Mtu mjinga, asiye na akili, akifeli kwenye jambo lake lolote atatafuta kisingizio. Na mara zote hurushia lawama kwa wengine. Chadema tumefeli! Kwenye uchaguzi huu 2020 tumefeli. Kwamba tuliibiwa, kwamba tulikosa...
  8. Eng. Y. Bihagaze

    Askofu Gwajima unaanza vibaya!

    Nadhani Nimenyoosha Taarifa sio Vema Kuendeleza Malumbano. Kwenye wengi Taarifa pia ni Nyingi. Mtoa Hoja alisema Ametonywa na mtu, Watu Hutonywa Mengi, lakini Ukweli ni kwamba Mweshimiwa Diwani alifanya Kikao Chake na Wadau Kwa Sababu ndio Ilikuwa Ratiba Yake na Mweshimiwa Mbunge tulikuwa Naye...
  9. Eng. Y. Bihagaze

    Askofu Gwajima unaanza vibaya!

    MTOA HOJA Si Jambo Zuri, Hata kama Uhuru wa Habari ni Jambo Binafsi, Lakini Kuweka Post ya UONGO sio Uungwana. Lakini Kwa kuwa mtoa maada ametonywa basi ni vizuri kunyoosha Taarifa Hizo Kwa Usahihi. Tarehe hiyo 18/12 Ijumaa, Ni kweli Diwani wa Mbezi Juu CCM Mweshimiwa Anna Lukindo Alikuwa na...
  10. Eng. Y. Bihagaze

    Watanzania tukatae Kurogwa tuijenge nchi yetu

    Kuna aina ya miwani watanzania wenzetu wameiprocure yenye uwezo Wa kuona mabaya kwenye Catastrophic level
  11. Eng. Y. Bihagaze

    Watanzania tukatae Kurogwa tuijenge nchi yetu

    Watanzania Mnataka nini??? Mnamtaka Nani? Nani awaongozeni.. Na mnatakaje..
  12. Eng. Y. Bihagaze

    Watanzania tukatae Kurogwa tuijenge nchi yetu

    Nadhani urais unataka MTU spesho.. Kuwaongoza watu wenye shingo ngumu yataka kujitoa..
  13. Eng. Y. Bihagaze

    Watanzania tukatae Kurogwa tuijenge nchi yetu

    Watanzania baadhi yetu tunachosha..
  14. Eng. Y. Bihagaze

    Watanzania tukatae Kurogwa tuijenge nchi yetu

    Wewe ndo hujui lolote..
  15. Eng. Y. Bihagaze

    Watanzania tukatae Kurogwa tuijenge nchi yetu

    Ifike wakati Watanzania Tukatae vichwa vya Kurogwa. Tuikumbuke nchi hii na tuijenge Kwa Upya. Naomba nisiwachoshe Kwa Takwimu Na mlolongo wa mambo ambayo mnayajua..itoshe kusema tu kwamba Bidii ya Rais wetu kugundua Na kuwachomoa mafunyfunyu ya makontena Na mabilioni ya fedhazetu zilizokuwa...
Back
Top Bottom