Huo ndo ukweli fraga alistaili kuwepo katika mchezo wa jana kuna vitu anakupatia kutoka mguuni kwake mkude hawezi kukupa miaka mia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna pengo la wawa jana alichokifanya ni kujivunja ili atoke baada ya kuoona shughuli nzito na tayari kashafanya makosa mwanzoni nyoni anambeba tu ila ni wa kawaida sana
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.