Recent content by ENG BENEDICTO

  1. E

    JamiiForums Hizi ndo shule 100 Kongwe na zilizotikisa Tanzania, na asilimia 90 humu tumepitia katika shule hizi

    My school Kahororo 2005-2007 lakin umesahau Rugambwa pia ni kongwweee.
  2. E

    JamiiForums Tanzia: Johanes Kanani apata ajali na kufariki

    Very sad aise pole kwa familia Sent using Jamii Forums mobile app
  3. E

    JamiiForums Utaratibu mpya wa kupata fao la kujitoa NSSF

    Mimi niliambiwa sasa hivi kupata mafao yako ni mpaka miaka 55. Nadhan waww wawazi kwa hii sheria. Yan nifanye kazi private secta Nina miaka 20 baada ya miaka ,25 niache kazi nisubili miaka 55 tena? Huu ni uonezi. Wabunge walitakiwa kupinga hiii sheria kabisa
  4. E

    JamiiForums Sijawahi kuambiwa nakupenda na mwenza wangu

    Mwanamke hapendi kwa mjibu Wa biblia. Mwanamke ANATII. Kazi ya mwanaume ni kumpenda mke wake na Kazi ya mwanamke ni kutii. Hivyo hiyo mwanamke nampa bigup kwan anatekeleza amri ta Mungu. Soma Efeso 4 na kuendelea Enyi wake watiini wamume zenu. Enyi wanaume wapendeni wake zenu
  5. E

    JamiiForums Huu mchepuko una nia nzuri kweli ?

    Mchepuko siyo dili. Mapenz umeyaelekeza kwa make wako huyo nimchrpuko tu anakulia hela. Munyime hela tuone kama atakuganda sasa! Acha upofu Wa mapenz achana na huyo mwanamke ndoa yako ipate aman
  6. E

    JamiiForums Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Aise umenikumbusha mbali sana. Nilisoma hayo maswali 2005-2007 baada ya hapo sijawahi kugusa waves tena kwan field niliyoenda kusomea ya engineering haina hayo madude. Kiufupi tafuta kitabu cha nelcon&Park, utapata majibu hayo. Au walimu wanaweza kukusaidia
Back
Top Bottom