Recent content by enfuka nkulu

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mahojiano live na Mh. Lazaro Nyalandu (Audio)

    kajieleza vizuri, nafikiri kuna watu wanamchafua tu.
  2. E

    JamiiForums Tanzania kagame apigwa biti na obama

    amenyea, hajajibu mpaka sasa, chezea Obama wewe
  3. E

    JamiiForums Tanzania Eti Mgeni kaja kukutembelea na Mkao wa ajabu ajabu

    unanikumbusha "res ipso roquitor"
  4. E

    JamiiForums Tanzania Barack Obama - Rare Pictures

    kwenye picha ya kwanza kuna kinyako kilitengenezwa mwenge, sijajua tz na mtengenezaji wamenufaika kiasi gani?
  5. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Christian Democratic Parties

    mawazo mufilisi.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! umesoma katiba ya chadema na kukuta kwamba ni chama cha kikrito, au sera za kutetea watu ndiyo za kikristo? kama upo sahihi peleka malalamiko yako na vielelezo kwa tendwa ili akifute mara moja, katiba yetu...
  6. E

    JamiiForums Tanzania kagame apigwa biti na obama

    Raisi wa marekani amemwonya rais wa rwanda kwa njia ya simu kutosaidia waasi wa Congo. source: star tv
  7. E

    JamiiForums Tanzania MATOKEO Darasa la Saba si yenyewe

    mnajadili uzushi? (speculation) wa kusikia, subirini matokeo yatoke kwanza
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mke kuzaa nje ya ndoa

    uzinzi au uasherati? maana kuna tofauti
  9. E

    JamiiForums Tanzania Huu wizi umezidi.

    yah hii haijatulia, tuwaburuze TRA kotini
  10. E

    JamiiForums Tanzania Mihadhara ya namna hii ni sahihi...?

    asante kwa taharifa, lakini tusisahau wazo zuri la kuboresha au kuharibu linaanzishwa na mtu mmoja. maoni yangu wadhibitiwe mapema kabla mambo hajawa mabaya
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mihadhara ya namna hii ni sahihi...?

    kumbe tumewashtua!!
  12. E

    JamiiForums Tanzania swali la kizushi

    du! kumbe sisiemu itaua zaidi naona kama imeeksipai hivi.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mke kuzaa nje ya ndoa

    ukiomba talaka ukapewa, mlivyochuma pamoja lazima mgawane kaka. sheria haingalii nani mkosaji. (nakutumia invoice kwa malipo ya ushauri, ushistuke)
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mihadhara ya namna hii ni sahihi...?

    wamerudi, sijui kiburi wanakitoa wapi?
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kipi kinauma zaidi

    kinachouma zaidi ni pale anapokufa kwasababu hutamwona tena. ukimfumania ki2 haifutiki unaweza bado kugonga kama una moyo, imani na uvumilivu (umesahau ya bill Clinton na zele...)
Back
Top Bottom