Recent content by ENDLESS

  1. ENDLESS

    JamiiForums Tanzania Wanawake mkifikisha miaka 28 nakuendelea...ndoa ni bahati nasibu

    huyu mtoa mada hana jipya inawezekana dada zake wana umri huo hawajaolewa kwa kifupi sio wanawake wote wanataka kuolewa
  2. ENDLESS

    JamiiForums Tanzania Asante mama kwa kunitetea baada ya wife kunigeuza zombi.

    hewa kabisa nikipata mume kama ww haniowi kabisa unakuja kujisifia ----- ww na huyo mkeo hamna kitu
  3. ENDLESS

    JamiiForums Tanzania Jaman najitokeza kwa mara ya pili(natafuta mke)

    nina sifa zote tatizo dini yako
  4. ENDLESS

    JamiiForums Tanzania Nisaideni jamani kwa ushauri

    ameshaonja asali haachi kumbuka hakumwambia dada wa watu ukweli ana mke yy ajiandae kuwa na wake wawili
  5. ENDLESS

    JamiiForums Tanzania Nisaideni jamani kwa ushauri

    kuna mijitu migumu hata kushauri hivi una mke unawezaje kuhangaika bila ndom?ok umeteleza unampeleka home hivi ww ni mzima kweli kichwani sasa muoe awe mke wa pili
  6. ENDLESS

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Arusha: Mgombea CHADEMA kata ya Kimandolu akamatwa na police saa Saba usiku

    hawa ccm ipo siku yao kila siku wanatafuta sababu tena za kiwendawazimu kabisa watu tumechoka kwani arusha kuna nn mpaka ccm isipate amani kuiachia kwa cdm?
  7. ENDLESS

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ndogo

    ni pm mm nikusaidie kuhusu nyumba ndogo na kubwa pia
  8. ENDLESS

    JamiiForums Tanzania A divoced man looking for seriouse single woman

    Pm me plz
  9. ENDLESS

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yananishinda?

    Ni pm basi mi nitakusaidia
  10. ENDLESS

    JamiiForums Tanzania My Uncle, The Love of My Life

    uwii???? hii sijawahi kuisikia and ure still need him
  11. ENDLESS

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni msichana na upo single, nitumie pm

    hebu we anza basi kuni pm
  12. ENDLESS

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Mombasa Hayo!

    jamani hizi ni laana sii kitu cha kujusifia mbele za watu ati unapenda sana 0713 nyie mnaopenda hivi mtakuja kuoa kweli? hili tatizo now a days its like a fashion jamani hebu tubadilike na hii inapelekea wanawake kukosa wanaume wa kuwaowa cause mishoga inazidi kuongezeka kila siku
  13. ENDLESS

    JamiiForums Tanzania Ushauri plz

    huyu kama ni wewe vile unaomba ushauri kwani kuna mbinu ya kutongoza kweli zaidi ni kujiamini tuu huyo anamapungufu fulani woga umemtawala mwambie aje anitongoze basi nimuone alivyo zege
  14. ENDLESS

    JamiiForums Tanzania Hello

    hii! karibu sana
  15. ENDLESS

    JamiiForums Tanzania Je, ni Lazima niombe kibali kwa wife kwenda party ya ofisini

    Tatizo la umimi yaani jitu linajiona lenyewe ndio kila kitu kwani ukimuaga mkeo atakuzuia khaa jamani badilikeni
Back
Top Bottom