Recent content by emyz

  1. emyz

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Muuguzi aliyemchoma chanjo Mhe. Rais Samia na viongozi wengine kutovaa mipira ya mikono (gloves)

    Asante kwa ufafanuzi, msichoke kutuelimisha kwani ni kipindi cha mpito hivyo udadisi utakuwa kwa kila jambo hatakama kwenu wataalamu mtaliona la kijinga,
  2. emyz

    JamiiForums Tanzania Nini kazi ya Ada shuleni? Kwa nini sasa Wizi wa wazi?

    Inakera, ushalipa ada unaambiwa mara study tour, kitambulisho, calculator, A4 80g plain papers rim moja, matibabu/afya, marndeleo ya shule. n.k sasa hiyo ada ya mwaka 3,000,000/= kazi yake nini? Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
  3. emyz

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

    kama ni kweli ipo kazi. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. emyz

    JamiiForums Tanzania Faida za Ugonjwa Wa Covid 19 Duniani

    Pia kuionesha dunia kuwa si kila jambo baya asili yake ni Afrika. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. emyz

    JamiiForums Tanzania Iran yatungua Drone ya US RQ-4 Global Hawk

    Kweli, si miaka ya 1990's tu hadi sasa mipango ya chinichini ipo. sio rahisi kuibomoa Iran.
  6. emyz

    JamiiForums Tanzania Mh.Makonda umejikwaa kidogo kumshambulia Pierre!

    Amemnogesha zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. emyz

    JamiiForums Tanzania Meseji (SMS) za dawa za Kiganga: Je, hawa ni matapeli? TCRA mko wapi? Namba wanatoa wapi?

    Wasakwe simu si zimesajiliwa kwa vitambulisho?
  8. emyz

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Tanzania ni viumbe vya ajabu kuwahi kuishi duniani

    Hoja pevu
  9. emyz

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufukuza mbu: Rahisi sana

    Asante kwa maarifa hayo.
Back
Top Bottom