Recent content by empire 5

  1. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu zitoke mwezi huu(December 2016)

    Hiyo wasema wewe
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu mwaka huu

    Tutafika tumechoka sana maana tuliyataka wenyewe
  3. E

    JamiiForums Tanzania fourth round application

    Ok
  4. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Mh! Hivi kweli wameanza?
  5. E

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza zoezi la kuhakiki vitambulisho vya kazi kwa watumishi wa umma na kutengenezewa vipya

    Tunaosubiri ajira tutapata shock
  6. E

    JamiiForums Tanzania Waziri Angella Kairuki: Serikali itaanza kutoa ajira mwakani

    Michakato haishi mbona mkuu
  7. E

    JamiiForums Tanzania Waziri Angella Kairuki: Serikali itaanza kutoa ajira mwakani

    Tunasubiri ya ukweli sasa
  8. E

    JamiiForums Tanzania Waziri Angella Kairuki: Serikali itaanza kutoa ajira mwakani

    Wote tuombe labda watatoa wiki ijayo amen
  9. E

    JamiiForums Tanzania Waziri Angella Kairuki: Serikali itaanza kutoa ajira mwakani

    Ahadi zimezidi jamani tuambieni ni lini zitatoka na iwe kweli na roho zetu zitapona ila mnapokaa kimya wakati mulioahidi umepita munatukomoa wanyonge ingetolewa neno lini Tutarajie hiyo ajira
  10. E

    JamiiForums Tanzania Waziri Angella Kairuki: Serikali itaanza kutoa ajira mwakani

    Anayesema uongo basi yeye atwambie ni lini itatoa siyo ahadi tumechoka jaman tusaidien mtaan kugumu
  11. E

    JamiiForums Tanzania Waziri Angella Kairuki: Serikali itaanza kutoa ajira mwakani

    Nilishaanza kupata depression maana mawazo yamezid sekta binafsi nazo zimejaa
  12. E

    JamiiForums Tanzania Waziri Angella Kairuki: Serikali itaanza kutoa ajira mwakani

    IInauma sana tunaosubiri ajira mwakani tena mbona tumepewa adhabu ambayo siyo yetu jamani
Back
Top Bottom