Hizo android sizielewi kbs kwakweli ndo maana naihitaji sana hii ikae sawa.
Mwenye ufahamu wa kutibu hii shida anieleweshe.
Shukrani sana
Kuna watu watakwambia uibadilishe ufunge androi
Wakuu kwema?
Nimekutana na changamoto kutumia redio iliyopo kwenye gari (ilikuja na gari) aina ya Panasonic Strada kwani hai-respond chochote na inaonekana inatakiwa kuwa na SD card ambayo kwasasa haipo. Je, kuna namna ya kuifanya redio hii ipige kazi fresh?? Ikiwa on inakua na muonekano kama...
Wakuu.
Je ni kosa kwa mtumishi wa umma wa shirika la serikali X (mfano NHIF) kuandika barua kwa Katibu Mkuu Utumishi kuomba kuhamishiwa Taasisi nyingine ya serikali bila kuitaja kutokana na changamoto fln?
Mfano:
Mimi mtumishi X wa Taasisi Y naomba kuhamishiwa Taasisi nyingine ya serikali...
Wakuu nimeipenda sana hii mada japo imekua kimya kwa muda kdg.
Binafsi naomba msaada wa kufahamishwa faida za kuendesha biashara ya bidhaa kwa jina/ njia ya kampuni dhidi ya kuendesha kwa jina la biashara (registered business name).
Nishukuru in advance
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.