MI nadhani mhusika ulileta Mada kutujulisha na sio kuomba ushauri mana ushauri wote unaopewa ukiwa kinyume na ww unaupinga. Na unatoa maelezo ya kujihakikishia kabixa kile Umeamua kipo sawa Sasa sijui Kwann unajifanya kutaka ushauri wakati unauhakika 'na lile unaenda kufanya. Sijui bado una...
Ikiwa kwa mwanaume watu hutoa ushauri kama cheating ni kawaida tu. Ikiwa kwa mwanamke sass utasikia mapovu si ya nchi hii duuuh
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sasa kutoka kazin kwake hatumii nauli mpaka arudie miatano duuh pole mwaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha basi mie najua mtu ukiwa huna time nae wala hakushughulishi ni kama hayupo duniani. Ukiona mtu mpaka unamuwazia hivyo jua anakushughulisha hapo unajifariji tu kudhan humpendi kumbe ni kinyune chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh jamani hivi wanawake hawanaga zawadi nyingine zaidi ya papuchi? Hawez rudisha fadhila nyingine zaidi ya uchi. Too sad aisee mie naona huo ni mwanzo tu ipo siku atakutafta mrudie mechi Tena 'na itakuwa hivyo hivyo Tena 'na tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkiwa mnaanza huo mchezo huwa mnacheck saa Kwanza na Kujua saa hivi ni saa hii naanza? Hizo dakika sitini ulizozisema zote ulikuwa una pump tu ama yakiwemo 'na maandaliz? Promo zingine bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo. Tatizo watazania sijui Nani katuloga tunapenda maneno maneno mengi matendo Hakuna, mtu Anakuja hapa sio kama anataka samaki anakuja kuponda tu, hivi viwanda vinavyofroze samaki mnavijua? Hao samaki wanatoka mbinguni ama? Mtu Kama uko serious utafika eneo husika uuziwe samaki uende...
Jamani naona watu wengi hawaelewi. Narudia tena Kuna samaki wakubwa kwaajili ya fileti tu ambao ndio wanakuwa processed kwenda soko la ulaya. Na Kuna samaki size hyo niliyoitaja huuzwa kwa wafanyabiashara kama sisi. Hawa hawasafilishwi nje ya nchi unaposema wamezuiwa unataka kunambia wewe...
We nadhani unaongea kwa kukariri eti siku zao wanazijua. Laiti kama wanaume mngekuwa mnabeba mimba mngeongoza kwa kuzaa kuliko wanawake. Usikariri biology ya form three wewe mzunguko wa mwanamke hubadilika usidhan ulivyokalilishwa siku ya 14 utapata mtoto wote hupata watoto siku hyo nk. Na kila...
Sikatai Kuna sponsors wachache sana tunaowaona Lakin humu jf duuh karibia kila mwanaume huhudumia vizuri wengine wanatuambia demu wake anaruhusa ya kwenda kwenye business yake akachukua kiasi anachotaka nk ukija kwenye mtaji Sasa Mara nilikuwa nimemtunzia mtaji wa mil 5,10,20 nk au nilimpa mil...
Mbona hapo mwisho sisi umeweza kutukazia na kutupa angalizo kwake unashindwa nini, au sie umetudharau sana kama una ujasiri wa kutupa angalizo nini kinakushinda kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.