raque
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 200
- 64
Mkuu ila kuwa walakini juu ya post yakoSamaki hawa wanapatikana kiwandani karibu na ofisi za radio free Africa, kiwandan sio kwamba kila mtu anaruhusiwa kuingia unless uwe unafanya biashara humo ndio maana ukitaka kufika lazima unitafte au utafte mtu mwingine anayehusika
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani naona watu wengi hawaelewi. Narudia tena Kuna samaki wakubwa kwaajili ya fileti tu ambao ndio wanakuwa processed kwenda soko la ulaya. Na Kuna samaki size hyo niliyoitaja huuzwa kwa wafanyabiashara kama sisi. Hawa hawasafilishwi nje ya nchi unaposema wamezuiwa unataka kunambia wewe ukienda kununua samaki wa kula huwakuti hawa samaki sokoni? Kwanini hizo mamlaka hazipiti sokoni kukamata Hao wanaouza. Jamani kabla ya kujifanya unajua Sana mambo tafuta fact Kwanza unaweza ukawa unaongea maandishi uliyokariri ya Sheria wakati sio hivyo. Nitakuuliza swali jepesi tu hawa samaki tunauza kwa mabucha hasa dar unadhani wanafikaje? Acheni kukariri jamaniMkuu ila kuwa walakini juu ya post yako
Ni kweli hairuhusi kuingia watu ovyo kwenye food processing industries lakini huwa wana maduka ya kuuzia product zao.
Kiwanda unachokizungumzia ni Omega kipo Ilemela, wale wanauza Samaki nje ya nchi pia picha ya Samaki ulio waweka kwenye uzi wako wako chini ya 50cm, ambao kisheria waharuhusiwi kuvuriwa, unapata wapi kibali cha kuwasafirisha Samaki walio chini ya kiwango ili kumfikishia mteja wako alie mbali maana lazima upate kibali kutoka kwenye mamlaka husika la lazima wakague mzigo kabla hawajakupa kibali.
Ila endelea na biashara yako mkuu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu nimekuelewaJamani naona watu wengi hawaelewi. Narudia tena Kuna samaki wakubwa kwaajili ya fileti tu ambao ndio wanakuwa processed kwenda soko la ulaya. Na Kuna samaki size hyo niliyoitaja huuzwa kwa wafanyabiashara kama sisi. Hawa hawasafilishwi nje ya nchi unaposema wamezuiwa unataka kunambia wewe ukienda kununua samaki wa kula huwakuti hawa samaki sokoni? Kwanini hizo mamlaka hazipiti sokoni kukamata Hao wanaouza. Jamani kabla ya kujifanya unajua Sana mambo tafuta fact Kwanza unaweza ukawa unaongea maandishi uliyokariri ya Sheria wakati sio hivyo. Nitakuuliza swali jepesi tu hawa samaki tunauza kwa mabucha hasa dar unadhani wanafikaje? Acheni kukariri jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kambale usipowapata kwake njoo kwangu ninao wakutoshaNahitaji Kambale na Nembe
Ndio hivyo. Tatizo watazania sijui Nani katuloga tunapenda maneno maneno mengi matendo Hakuna, mtu Anakuja hapa sio kama anataka samaki anakuja kuponda tu, hivi viwanda vinavyofroze samaki mnavijua? Hao samaki wanatoka mbinguni ama? Mtu Kama uko serious utafika eneo husika uuziwe samaki uende Zako hawa wanajifanya wajuaji ni walioshindwa na maisha tu wasiopenda maendeleo ya wenzao. Siwez tangaza kitu nisichokijuaSawa mkuu nimekuelewa
Tumia akili ya kuambiwa changanya na yako kisha songa mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania ya viwanda yajaNdio hivyo. Tatizo watazania sijui Nani katuloga tunapenda maneno maneno mengi matendo Hakuna, mtu Anakuja hapa sio kama anataka samaki anakuja kuponda tu, hivi viwanda vinavyofroze samaki mnavijua? Hao samaki wanatoka mbinguni ama? Mtu Kama uko serious utafika eneo husika uuziwe samaki uende Zako hawa wanajifanya wajuaji ni walioshindwa na maisha tu wasiopenda maendeleo ya wenzao. Siwez tangaza kitu nisichokijua
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari yako mkuu mnao tiger prawns na kamba koche (lobster)Nawakaribisha kwenye biashara ya samaki tunatuma popote pale kuanzia kg 100. Kwa samaki Aina zote sangara, Sato ama ukitaka fileti. Kwa wale wenye mabucha ya samaki mnakaribishwa
Kwa watu walio serious tu karibu kwa maelezo zaidi. pia![]()
Sent using Jamii Forums mobile app