Mkuu nunua vifaa vya ku'repair electronic devices kama vile phones,radios,videos,receivers, pianos,irons etc., halafu kabidhi kijana yeyote mwenye fani ya ufundi kama mimi na muwe mnagawa mapato kila mwezi sawa kwa sawa ungepata mafanikio makubwa sana baada ya miaka miwili au mitatu... kikubwa...