Kuingia kwa machine za kufanyia mapenzi

Kuingia kwa machine za kufanyia mapenzi

Ama hakika NYANI HAONI KUNDULE. Huo UTUMBO ulioandika ulitarajia upate majibu gani!!!?? Wewe KIAZI kwelikweli.

Macho yko yana tongotongo kila kitu waona utumbo,kanawe kwanza!.
 
Wewe utanunua hizo machine ?!!!jibu lako kwa nini?
Hellow,kuna taharifa nimezipa kua kuna kampuni kadhaa zimeomba kuingiza vifaa mbalimbali za kuliwaza kuchukua nafasi ya wenza kwa wasiokua nao.
Machine izo ni kubwa zenye shepu mbalimbali za kike na zakiume yaan tofauti ni ndogo sana na maumbile ya me au ke.kwenye machine izo unaweza kuweka joto unalolihitaji,milio yoyote unayoitaka mtumiaji.makampuni ni ya Japan na France vifaa ivyo ni matoleo mapya kabisa na Africa viko south Africa tu.
Sasa nataka mawazo yko je kampuni hizi zipewe kibali cha kuuza vitu ivo au wasipewe, utoe na sababu kutokana na jibu lako.
 
dah habari haijitoshelezi kwanza taja majina ya kampuni tu google tuone ukweli wake
 
umeniacha kidogo:
1.hizo kampuni ni za tanzania?
2.kwann waombe ruhusa kama ni biashara halali?
3.unahitaji mawazo kwamba ujue idadi ya wateja humu MMU?
4.umejuaje kama yana maumbile tofauti wakat unasema bado hazijaingizwa wewe umeonea wapi hayo maumbile na hiyo milio pamoja na joto lake?

jibu kwanza haya!!!!!
 
Do, hii jamii ya hapa mi huwa hata siilewielwi, kwana mleta mada kafanya kosa gani hadi ashambuliwe kiasi hicho? Yeye alichoomba ni mitizamo ya kila mwana jamii atakaejisilia kuchangia. Sasa hayo mengine yametoka wapi? Iwe kweli au si kweli bado kila mtu anahaki ya kutoa kile anachofikiri kuwa kinafaa kupatiwa uchanganuzi hapa jukwaani. Najumbuka issue kama hii iliwahi kuletwa na mtu mmoja hapa jamvini na ikajadiliwa vizuri kabisa. Najaribu kukiuliza, dhambi ya huyu mwenzetu iko wapi? Au tuna madaraja hapa ndani, kwamba wengine wanaweza kutoa mawazo yao na yakajadiliwa na wengine hawaruhusiwi!? Hebu tuweni wastaarabu.
 
Huyu anataka kuanzisha biashara hiyo, yupo kwenye survey. Mpeni ushirikiano jama.
 
Do, hii jamii ya hapa mi huwa hata siilewielwi, kwana mleta mada kafanya kosa gani hadi ashambuliwe kiasi hicho? Yeye alichoomba ni mitizamo ya kila mwana jamii atakaejisilia kuchangia. Sasa hayo mengine yametoka wapi? Iwe kweli au si kweli bado kila mtu anahaki ya kutoa kile anachofikiri kuwa kinafaa kupatiwa uchanganuzi hapa jukwaani.

Unawezaje kujadili jambo ambalo halina ukweli?
 
Do, hii jamii ya hapa mi huwa hata siilewielwi, kwana mleta mada kafanya kosa gani hadi ashambuliwe kiasi hicho? Yeye alichoomba ni mitizamo ya kila mwana jamii atakaejisilia kuchangia. Sasa hayo mengine yametoka wapi? Iwe kweli au si kweli bado kila mtu anahaki ya kutoa kile anachofikiri kuwa kinafaa kupatiwa uchanganuzi hapa jukwaani. Najumbuka issue kama hii iliwahi kuletwa na mtu mmoja hapa jamvini na ikajadiliwa vizuri kabisa. Najaribu kukiuliza, dhambi ya huyu mwenzetu iko wapi? Au tuna madaraja hapa ndani, kwamba wengine wanaweza kutoa mawazo yao na yakajadiliwa na wengine hawaruhusiwi!? Hebu tuweni wastaarabu.

shankal like this.............
 
Sex Machine zipo na watu wanazitumia ila sema mtu hawezi jijulisha kuhusu hilo kwani ni upumbav huo na haina tofauti na punyeto kwani ni sawa na kulala na maiti na wengi huko zilikoanzia wameshakuwa machizi ; binadamu siyo mashine hatumii umeme na siku likipiga shoti na aliyekuwa anafanya game juu yake atakutwa amebanikwa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom