Mheshimiwa Mnyika!! Wew ni kichwa na tunakukubali zaidi ya makaratasi ya Vyuo, kwani si wote kweli waliosoma ndio wanauwezo wakuongoza Nchi kwa Ustadi NO bali Uwezo wa Mtu aliojaliwa na Mungu na Jitihada zakutaka kuongea Elimu Dunia ili kuwa naufahamu na Hekima za kuongoza watu!! Muheshimiwa uko...
Sasa hii nayo is tooo much!! Lawama ni kwa hawa ndugu zetu Waislam haikwepeki imekuwa dhahili sana kwamba wamekusudia! kama ni huu Muungano kwakweli kutokana na huu mchakato wa KATIBA huu Muungano uangaliwe sana sana...
Hakuna upumbavu kama huo kukubalika katika nchi yetu, kwani kipindi choooote ilikuwaje au wanataka watanzania tuzidi kuwa gizani????? kwani mim mwenyewe kwa kusikiliza nakufatilia mambo ya bunge ndio nikaanza kujua mambo mengi nakufunguka macho jinsi ya MAUFISADI NA WIZI wa mali za watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.