Recent content by emmanuelkengoye

  1. E

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    Kura za ukawa urais ni milioni 6....sio 4.7milioni.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Sina imani na wabunge wa CHADEMA waliojiunga na CHADEMA baada ya Lowassa

    Kuwa na imani na wabunge hawa, kwani bunge linafanyika wazi kama soka linapochezwa uwanjani kila mtu akiangalia.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mzee wetu Sitta na tamaa ya uspika

    Sita alimalizwa na bunge la katiba, hana Jipya akalee wajukuu.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Geita - Septemba 23, 2015

    Mafuriko gani ya kusomba watu na magari na kujaza wanafunzi na kuwavalisha fulana za Chama.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Swali la ugomvi: Mnataka vipi mabadiliko wakati tayari mmebadilika?

    Achana na ukawa, fanyakazi zako. Asimilia kubwa walioko upinzani walitoka CCM baada ya kuona mfumo wa CCM huwezi kuwaletea wananchi maendeleo. Unaona nini cha ajabu Lowasa kuhamia Chadema, hapa ni mabadiliko tu, na sio Magoli ya mikono na watu mnaotumiwa na CCM.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nani unapenda awe rais wako kati ya hawa?

    Lowasa, hana mpinzani asubuhi.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuitikisa Dar - Septemba 07, 2015

    Mwambie alisemea hela za wananchi zilizochukuliwa na serikali ya CCM (DECI) anatuahidi nini baada ya kuingia ikulu.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Star TV Kuna maisha baada ya uchaguzi

    Unacho sema ni ukweli mtupu, uzinduzi wa kampeni wa CCM jangwani Sasa ni kama Tangazo la biashara Startv na Tbc1.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Sitowaangusha! Hii ndo ahadi kubwa ya Magufuli katika Urais

    Kauli sitaawangusha inatakiwa itolewe tayari umechaguliwa. Vinginevyo wanatoa wanariadha au bondia, lakini kwa mgombea anaomba wapiga kura wasimuangushe.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Ni Magufuli kila kona

    Unajifariji magufuli unamjua wewe CCM na gazeti la uhuru na sio vinginevyo. Mwaka huu mnalo, mtaisoma namba.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Mafuriko ya Lowassa/UKAWA ni moto wa mabua!

    Hizi ni kauli za mfa maji Haji kutapatapa, huu ni moto wa petroli hauzimwi kwa maji. Baba utawala mzuri, mjiandae kisaikolojia kuwa Chama cha upinzani.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Mafuriko ya Lowassa/UKAWA ni moto wa mabua!

    Ataisoma namba.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Hayo yote yanafanywa na CCM ili kupunguza nguvu za ukawa, lakini hawataweza, ukawa itashinda.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania vinatumika kuihujumu CCM?

    Sikubaliani na mtazamo wako, mbona huisemei tbc ambayo ni ya Taifa lakini utafikiri ni ya CCM. Itv ni msema kweli na ni chaguo la wengi kwa Habari za uhakika.
  15. E

    JamiiForums Tanzania Dk. Milton Makongoro Mahanga atangaza rasmi kujiunga CHADEMA

    Kweli kabisa alikamatwa na masanduku ya kura, aliokolewa na polisi. Mshindi alikuwa mpendazoo
Back
Top Bottom