Ni Magufuli kila kona

Ni Magufuli kila kona

duu...nipo ughaibuni nimecheka sana...hao waandishi wanachaekesha sana...hapa huyo mrundi labda arudi kwao burundi
 
ccm mnajidanganya sana makofuli hakubaliki kabisa .kila mahali ni lowasa lowasa lowasa .mamantilie lowasa,wanafunzi wa vyuo lowasa,walimu lowasa,bodaboda lowasa, ccm haikubaliki kabisaaaaaa
Khaa!! Akili zenu fupi mnadhani rais anapatikana kwa honi au vurugu za bodaboda au kelele za walevi bila kujua kuna kundi kubwa lililo kimya lenye kutafakari lisilopenda kupelekwapeleka kama nyumbu
A%20S-smoking.gif
 
Km ni kila kona mbona huku hatumsikii,huku ni lowasa tu kila kona.
 
Kila kona ndani ya jengo la lumumba ametisha sana pombe
 
Unajifariji magufuli unamjua wewe CCM na gazeti la uhuru na sio vinginevyo. Mwaka huu mnalo, mtaisoma namba.
 
ccm mnajidanganya sana makofuli hakubaliki kabisa .kila mahali ni lowasa lowasa lowasa .mamantilie lowasa,wanafunzi wa vyuo lowasa,walimu lowasa,bodaboda lowasa, ccm haikubaliki kabisaaaaaa

Nashangaaa sana kwa wanao fuatilia gazeti la Uhuru na tbc na clouds hv vyombo sio kabisaaa kwa nchi hiii ,
Ingekuwa nikupiga kura za maoni hv vitu tungevipoteza kabisaaa tz.
Mm nafuatilia Michakato huu mpaka vijijini magufuli hawamtaki ss cjui wanamzungumzia kona gani.
Labda maden ya wakandarasi wake.
 
Kwanini waandishi wa habari kwenye magazeti hamuandiki ukweli. Kila kona ipi wanayo muongelea Magufuli kwa uzuri? Watanzania wengi hawataki hata kusikia habari ya CCM iweje wamuongelee Magufuli kwa uzuri.
 
Mbona tuna sahau kuwa chama kilicho madarakani ndio inabeba dhamana kubwa ya kupiga vita ufisadi.Kwa kuifanya chadema ndio mpinga ufisadi hivi hii ina maanisha tunaunga mkono ufisadi? .Ndani ya ccm ndio kuna viongozi wengi wanaofisadi nchi.issue ya ufisadi inapaswa kupigwa vita na kila mtu mzalendo wa nchi hii kwa maslahi mapana ya nchi.

Ccm bana ni shida wajifanya wao c watz tena, kwa kusema eti chadema walipinga sana ufisadi na si wao, bado kumbe wao ndo wahalalishaji wa mambo haya.
 
Back
Top Bottom