Huyu mzee naona hana haya. Laiti angejua mioyo ya watanzania ilivyonyongnyea kwa alichokifanya BMK!!? Asingerudi kuombs uspika.! Tumekosa hata mabadiliko tuliyotarajia nje ya ccm kwa ajili ya mzee huyu kutumia kodi yetu kubwa kwa posho za BMK na ikaishia kama kibatari kilichodondoka kwenye maji. Tumeenda uchaguzini bila katiba mpya, bila tume huru mradi tu mzee huyu alinde maslahi yasiyokuwa na tija kitaifa na matokeo yake tunayaona Zanzibar! Bara watu wavumilivu. Eti leo anaomba uspika!!!? Si ofisi anayo nyumbani alishajenga kwa kodi yetu si akae na bahati mama ni mbunge basi aendeshe bunge la nyumbani kwake si la watanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.