Lowassa kuitikisa Dar - Septemba 07, 2015

Mwambie alisemea hela za wananchi zilizochukuliwa na serikali ya CCM (DECI) anatuahidi nini baada ya kuingia ikulu.
 
Kesho saa nne Lowassa the Great atakua jimbo la Kawe na Saa nane mchana atakua jimbo la kibamba.
Mkutano wake wa Kibamba utarushwa live kwenye tv station zote ikiwemo ITV, AZAM....

Basi Sawa!
 
Sasa wale kenge waliosema haendi mikoani eti kaomba watu wamuombee kura wapo wapi ? Oh afya gongana, sijui na upuuzi kibao just sababu wamezoea hotuba za masaa 5 kuubiri uongo na ahadi zisizowezekana !! Kampeni za kisasa ground zero watu wanapiga mzigo, ww unapita 5-10 minutes kusamaraiz tuu..
Huku pande ile wapo wenyeviti na makatibu wa CCM, ma Dc na wengine wanapiga chabo na kula mzigo kiaina.... next month jamaa watashangaa pwaaa....
Dr. wa mihogo atajifungia na wenzake kulia kilio cha mbwa.... wakati ss mchakamchaka unaanza. Nape nasikia kashaomba uraia wa msumbiji...!!
 
Duh angefanya leo j2 ingekuwa pouwa sana dah
 
Kwa siku ya leo tu Edo kawaua Nzega,Igunga,Sikonge na bukene.Na pote huko ni Gharika tupu.
 
Kesho jioni yupo Bunju
Rais atakuwa ni kutoka Ukawa
Naye ninLowassa
Hakuna Mabadiliko ya mtu wa sifa za ufisadi! Kuweni na akili enyi watanzania. Hakuna atakaye badili Maisha ya mtu hapo bali wana ongeza utajiri wao tu na nyie mnabaki kushabikia tu. Ujinga tuache na ndio maana wengine inafikia atuwa tuna uwana bure kwa kuongozwa na hao batajiri wakati kila kukicha umasikini wetu una ongezeka %10, embu jiulize lowasa ana miaka mingapi akiwa ndani ya siasa na akiwa waziri mkuu wa nchi mbona haja leta hayo Mabadiliko? Leo hayo Mawazo kayatowa wapi? Na tujuwe kwamba kutawala ina endana na tabia ya mtu sasa je hiyo tabia ya kuendeleza au kusimamia kitu ipasavyo kafundishwa na nani sasa ivi? Kumbukeni msijuti badae mkasema bora ilipokuwa ccm kwani wao hawakumtaka wanamjua sana na sidhani kama atabadirika.
 
Kesho jioni yupo Bunju
Rais atakuwa ni kutoka Ukawa
Naye ninLowassa
Hakuna Mabadiliko ya mtu wa sifa za ufisadi! Kuweni na akili enyi watanzania. Hakuna atakaye badili Maisha ya mtu hapo bali wana ongeza utajiri wao tu na nyie mnabaki kushabikia tu. Ujinga tuache na ndio maana wengine inafikia atuwa tuna uwana bure kwa kuongozwa na hao matajiri wakati kila kukicha umasikini wetu una ongezeka %10, embu jiulize lowasa ana miaka mingapi akiwa ndani ya siasa na akiwa waziri mkuu wa nchi mbona haja leta hayo Mabadiliko? Leo hayo Mawazo kayatowa wapi? Na tujuwe kwamba kutawala ina endana na tabia ya mtu sasa je hiyo tabia ya kuendeleza au kusimamia kitu ipasavyo kafundishwa na nani sasa ivi? Kumbukeni msijuti badae mkasema bora ilipokuwa ccm kwani wao hawakumtaka wanamjua sana na sidhani kama atabadirika.
 
mkuu nyie wachache wenzenu wengi unaumiza mikono bure
 
Hakuna Mabadiliko ya mtu wa sifa za ufisadi! Kuweni na akili enyi watanzania. Hakuna atakaye badili Maisha ya mtu hapo bali wana ongeza utajiri wao tu na nyie mnabaki kushabikia tu. Ujinga tuache na ndio maana wengine inafikia atuwa tuna uwana bure kwa kuongozwa na hao batajiri wakati kila kukicha umasikini wetu una ongezeka %10, embu jiulize lowasa ana miaka mingapi akiwa ndani ya siasa na akiwa waziri mkuu wa nchi mbona haja leta hayo Mabadiliko? Leo hayo Mawazo kayatowa wapi? Na tujuwe kwamba kutawala ina endana na tabia ya mtu sasa je hiyo tabia ya kuendeleza au kusimamia kitu ipasavyo kafundishwa na nani sasa ivi? Kumbukeni msijuti badae mkasema bora ilipokuwa ccm kwani wao hawakumtaka wanamjua sana na sidhani kama atabadirika.

Mjiandae kisaikolojia kuwa chama cha upinzani.

Mlivyokuwa mnatakatisha pesa za ESCROW na mkuu wenu wa kaya mlifikiri yameisha?

Liserikali la ccm limejaa makashfa ya wizi kila kona na huku wananchi waliowachagua wakitaabika ndani ya nchi yao.

Nijibu swali hili " Watanzania wenye asili ya kihindi na kiarabu kwanini hawaishi tena Kisarawe, Kibaha, Bagamoyo,Mkuranga nk kama zamani za Nyerere"

Tafakari chukua hatua!
 
Hakuna Mabadiliko ya mtu wa sifa za ufisadi! Kuweni na akili enyi watanzania. Hakuna atakaye badili Maisha ya mtu hapo bali wana ongeza utajiri wao tu na nyie mnabaki kushabikia tu. Ujinga tuache na ndio maana wengine inafikia atuwa tuna uwana bure kwa kuongozwa na hao batajiri wakati kila kukicha umasikini wetu una ongezeka %10, embu jiulize lowasa ana miaka mingapi akiwa ndani ya siasa na akiwa waziri mkuu wa nchi mbona haja leta hayo Mabadiliko? Leo hayo Mawazo kayatowa wapi? Na tujuwe kwamba kutawala ina endana na tabia ya mtu sasa je hiyo tabia ya kuendeleza au kusimamia kitu ipasavyo kafundishwa na nani sasa ivi? Kumbukeni msijuti badae mkasema bora ilipokuwa ccm kwani wao hawakumtaka wanamjua sana na sidhani kama atabadirika.

mimi ni masikini. lakini siamini katika umasikini kamwe. na sikubaliani kwamba mtu tajiri hapaswi kuwa kiongozi kamwe...hizo ni fikra mgando. kwa hali ya sasa ilivyo rais wetu anapaswa kutoka nje ya ccm.
 
Back
Top Bottom