Recent content by EmmanuelDankeni

  1. E

    JamiiForums Tanzania SUMATRA kemeeni tabia kuingia kiholela kwenye basi za safari ndefu

    Kwa kweli hii ni kero,maudhi,na ukosefu wa utaratibu unakuta umekata tiketi unasafili mf Dar to Tunduma unakuta gari ikisimama wafanya biashara ndogondogo wanaingia kwenye mabasi na kuuza biashara mle ndani alafu wanakuwa wengi sasa yani ni KERO ,gali ikianza kuondoka wachache wanashuka wengine...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Harison Mwakyembe umeshindwa kusimamia maendeleo jimbon kwako?

    Kabla ya mwakyembe alikuweko,Mwakipesile ambae alishindwa kusimamia jimbo kutoka hatua moja kwenda nyingine ccm wakaja na mtu mpya huyo bwana mwakyembe watu walimpokea kwa upendo na furaha kubwa wakiamini mkombozi wa maendeleo yao kapatikana, kumbe wanakyela tumepatikana hakuna anacho saidia...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa kampuni ya usafirishaji abiria ni wakubwa juu ya abiria wao

    Rungwe express haina ustaarabu ni wababaishaji mno. Unakuta unakwenda ofisini kabisa unakata tiketi kwa kuipenda kampuni unapendekeza siti na mtoa tiketi anaandika ktk tiketi namba ya siti unamuuliza ili kujiridhisha anakuhakikishia unaridhika unaondoka. Siku ya kusafiri asubuhi pale Ubungo...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Sitta kama Obama

    Tena nawashauri wasisumbuke hata kuileta kwa wananchi et tuipigie kura KITU malizeni hukohuko bungeni.mkileta kwa wananch ili ipigiwe kura mnajisumbua.HATUJITOKEZI,HATUTAPIGA YA KATIBA,na wananchi tusiende kupiga,tumewasusia iyo yenu na watoto wenu
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    hafai hata kidogo
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu: Kesi kutaka Bunge Maalum la Katiba lisimamishwe haina mashiko

    Angalieni namna ya kusonga kwenye mahakama za juu zaidi
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Tigo na ubovu wa mawsiliano(network)

    Kampuni ya mawsiliano ya Tigo imekuwa ni kampuni sumbufu sana kwa watja wake(sisi) ni zaidi ya wiki tatu mpaka nne sasa tigo inasumbua sana katika mawasiliano na nk.Je uongozi wa tigo mnalifahamu hili?,na mnampango gani wateja wenu tunasumbuka sana cha kushangaza mko kimya hakuna taarifa yoyote...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

    Hakuna hoja zaidi ya kujifanya yy shekhe Y. Husein tu. Anabashiri okey nani ambae hautaki muungano kati ya Ukawa na kamati ya Warioba?.wao ukawa wanaitaji ijadiliwe rasimu ya kamati sababu inaaminiwa inatokana na wananchi kupitia kamati maalumu,sasa wa ng"ambo ya pili hawataki wanapuuza maoni ya...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

    Zitto hana sifa,uwezo,ukomavu hata wakuiongoza Mwandiga bila kuwa chini ya watu wenye akili yenye nguvu ,ngumu, yani hawezi kujiongoza yy mwenyewe bila watu wa kumdanganya danganya hiv na yeye kukubali .
  10. E

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Maalim Seif wapata ajali Mwanza

    Kuwa watumwa wa wazungu,waarabu hakujaisha na hakutaisha hapa Tz sababu wajinga wengi sana.mtz zama hizi at bado anamthamin sana mkoloni kuliko yeye mwenyewe ni ujinga, .Tunafikia akifa/akiuwa tembo,simba,fisi,pundamilia,nyangumi nk at wanaojiita viongozi wa sirikari fulu kujibalaguza at...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kituo cha polisi Geita chavamiwa, Askari wauawa!

    Usawa wa maisha unapo toweka matokeo yake ni kama hivi
  12. E

    JamiiForums Tanzania Sababu mbili kubwa za Mkutano mkuu kuwarejesha Mbowe na Dr Slaa uchaguzi wa ndani 2014

    hata ww unahaki ya kugmbea urahisi
  13. E

    JamiiForums Tanzania Sababu mbili kubwa za Mkutano mkuu kuwarejesha Mbowe na Dr Slaa uchaguzi wa ndani 2014

    Kabila bila uwezo mbeleko itachanika.dr Silaa anaweza,amesababisha nyinyi wang"ambo ya pili vichwa kupata moto alafu amuelewi mtapoza na nini, kazi mnayo
  14. E

    JamiiForums Tanzania Sababu mbili kubwa za Mkutano mkuu kuwarejesha Mbowe na Dr Slaa uchaguzi wa ndani 2014

    Huna jipya cdm inapasua anga,mipango kazi ya ukweli .Tunajua hamtaki mbowe ,Silaa mnaogopa misimamo yao hawanunuliki hao ,na ndio wanafaa kuwa viongoz cdm na urais,
Back
Top Bottom