EmmanuelDankeni
Member
- Aug 15, 2014
- 35
- 7
Kabla ya mwakyembe alikuweko,Mwakipesile ambae alishindwa kusimamia jimbo kutoka hatua moja kwenda nyingine ccm wakaja na mtu mpya huyo bwana mwakyembe watu walimpokea kwa upendo na furaha kubwa wakiamini mkombozi wa maendeleo yao kapatikana, kumbe wanakyela tumepatikana hakuna anacho saidia KITU ovyo jimboni kyela miundombinu mibovu,maji ya shida,elimu inaporomoka,nishati tabu, matibabu shida kyela imekosa mbunge, mji mchafu tofauti na zaman.wabunge wote walio ongoza kyela ni wa ccm na kila wanapo kuja wanamaneno mtamu wakishapata hawana habari na jimbo lao sasa ni wakati wa wanakyela kubadilisha chama ili tuwape chama kingine tupate maendeleo.ahsante nitakuwa co mwingi wa fadhira kama sita mshukuru mzee moendwa Pro,Mark Mwandosya kwa kazi nzuri anayo ifanya ya kusimamia maendeleo jimbon kwake,.Sio wabunge ccm kyela wote hawatakiwi na hawafai hata kidogo na sio hata wa kuwasikiliza porojo zake zao ni kuwapiga chini tu,.tembelea kyela uione leo hafadhali ya zaman ni chafu haifagiliwi yani inanuka,nagundua hana aibu H.mwakyembe.
Last edited by a moderator: