Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
- Thread starter
- #41
KUMBE HATA WATU WA CUF, HUWA WANAVAA SUTI.....Mi nilidhani wanavaa tuu Kanzu na barakashia
Sasa mtu anataka zanzibar iliyo huru ili apumue, unategemea nani atampa huo ulinzi?
Hahahaha umenikumbusha hako ka msemo ka maalim pindi anapokuaga anawahutubia boko haram.
Utasikia vibwagizo... mpo sawa sawaaaaaaah???
Tetetete.
Kwa mama yako punda wewe
Acha umbea! Cheo cha Mtatiro kimeshikwa na Mgalatia mwingine, Magdalena Sakaya.
Huyo ni makamu wa raisi wa nchi ya Zanzibar aliyekuwa Tanganyika kwa ziara ya kichama hivyo hakuwa katika ziara ya kiserikali kwakuwa huku hatambuliki cheo chake kinaishia huko Zanzibar akiwa huku anakuwa kiongozi wa CUF sio serikali!Ninavyojua mimi Makamu wa Rais ni kiongozi Mkubwa sana ina maana polisi au serikali ilikuwa haijui kuwa Msafara wa Makamu wa Rais SUK atapita hapo! Mbona barabara zinafungwa Mkuu tu wa Mkoa anapopita eneo flani na msafara wake kusindikizwa na vingora mbele na Nyuma? Jamani Tuzindukeni sasa Watanzania CCM inatupeleka kuzimu kwa hizi double standard zao!
Inamuondolea heshima ya kulindwa kama mgeni! Mbona Obama alikuja hapa mkatumia kila kilichochetu kumlinda mgeni! na nasikia hata Ikulu Rais wetu alikuwa anakaguliwa kuingia ikulu
wee ndio mwezi mchanga kabisa tena zoba unayemshobokea Obama! anakusaidia nini huyo Obama! si afadhali Maalimu anaishi kwa kodi zetu kuliko Ubama anayeishi kwa Damu za watu!huko SUK hakujichagua mwenyewe ni watu walimchagua!We chizi kweli unataka umlinganishe Obama na mtu mwenye hadhi ya cheo cha Ras mkoani? Teteteteeee kumekucha.
wee ndio mwezi mchanga kabisa tena zoba unayemshobokea Obama! anakusaidia nini huyo Obama! si afadhali Maalimu anaishi kwa kodi zetu kuliko Ubama anayeishi kwa Damu za watu!huko SUK hakujichagua mwenyewe ni watu walimchagua!
Alikuwa na cheo,,,ila kwakuwa ni Mgalatia akaondolewa
Hivi kuna mashetani wanafurahia ajali kwa wenzao!! kweli tumekwisha!! Isije kuwa hata scania ni mpango wa chama cha mashetani aka CCM. Siku ya ukombozi yaja subiri!!KUMBE HATA WATU WA CUF, HUWA WANAVAA SUTI.....Mi nilidhani wanavaa tuu Kanzu na barakashia
![]()
Hiyo bugando ni mali ya serikali???Wakishatoka BUGANDO kupata matibabu ndiyo wapande jukwaaani kuikashifu serikali kuwa haijafanya chochote. UKAWA bwana!
Hivi ni makamu wa raisi Zanzibar au muungano?? serikali ya mapinduzi Zanzibar ndio inayowajibika kugharimia ulinzi wa viongozi wake wakiwa huku Tanzania bara; au chama chake cha CUF; hiyo safari sio ya kiserikali; na makamu wa raisi Zanzibar hana hadhi ndani ya serikali ya muungano; kubebwa huku tuwaebebe hadi lini?? Maalim hataki muungano Musoma kimempeleka nini kama sio kutia watu lawani?? angejerhiwa mngeitia lawamani CCM na serikali yake. tunawaombea wote waliojeruhiwa Mola awajalie wapate nafuu ili warejee kwenye shughuliza za kawaida; Amen.
Hivi ww unajua maana muungano nyoko ww mbona jk akija zanj anapewa ulinzi tosha ulinzi haujalishi chama haswa mtu akiwa anacheo kikubwa katika serikali yoyote kati ya hzi mbili jeshi la polisi na matrafic nao wanavyama eeeh hebu nijuze acha umbulula huyo muheshima kikubwa lazima alindwe na aungozwe na msafara popote alipo ndo walewale mtu akiwa raisi hawi raisi wa chama tena anakuwa raisi wa wananchi wote boya ww rudi darasani ukasome