Recent content by Emmanuel Njulumi

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mtihani mwema kidato cha nne!!

    Wapo wanao rist nao ni wadogo zako,sema kila rahela wanao Fanya mitihani ya kidato cha NNE
  2. E

    JamiiForums Tanzania St.Joseph college of health science(boko campus) tujuzane mambo mbalimbali

    Kipo boko opposite bagamoyo road kipo vizur but wanafunzi wengi wamepanga kitaa so wahi katafute chumba ila mazingira ni mazur Sent using Jamii Forums mobile app
  3. E

    JamiiForums Tanzania Jua Kuhusu Vitu unavyoweza kusoma Chuo Kikuu kutokana na ufaulu wako

    Aliemaliza cheti akiwa na distinction anaruhusiwa kwa mujibu wa guidebook ya 2017 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. E

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako tusaidie wanafunzi tunaosoma kozi ya ualimu chuo cha Kumbukumbu ya Mwl Nyerere

    Soma vizur waraka no 5 unasema wote waliodahiliwa chini ya Nacte watamalizia kwa mfumo huo wa NTA ,isipo kuwa wale wanao anza cc watakuwa chini ya NECTA na watasoma cheti,hivyo usiwe na hofu soma na maliza masomo yako ya diploma wewe sio mhanga kama ulivyo sema
  5. E

    JamiiForums Tanzania Samahani anayejua matokeo ya mkuu kidato cha sita.

    Inawezekana nenda TEKU,MAKUMIRA,na OPEN UNIVERSITY ukiwa na cheti unasoma diploma then degree na kuendelea
  6. E

    JamiiForums Tanzania MSAADA KWA WALIMU WOTE

    Division 1-3
  7. E

    JamiiForums Tanzania Walimu wa masomo ya science sec schools tukutane hapa

    Wekeni vyeti vyenu vya taaluma ili tuone kama mnastahil au mbwembwe na majigambo tu
  8. E

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    Ualimu primary ngazi ya cheti wanachukua mwisho division 3,but kama amefaulu sayansi walau kuanzia daraja kwa masomo biology, chemistry, na physics mpeleke akasome afya
  9. E

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    Mimi pia naomba msaada kwenye namba hii s.0447/0053
  10. E

    JamiiForums Tanzania Ukweli kwa walimu

    Acha zarau za kijinga,rais wa kwanza Mwalimu ,wa pili Mwalimu ,wa tano Mwalimu pamoja na wazir Mkuu.je kuna kada nyingine ilishatoa rais zaidi ya ualimu
  11. E

    JamiiForums Tanzania Ukweli kwa walimu

    Acha umbumbumbu walimu ni kada ya walio soma kuliko wote mf ngazi ya cheti kada zingine wanachukua kuanzia d 4 na kuendelea lkn ualimu ngazi ya cheti wanachukua division 3 we vipi unashindwa kujiongeza
  12. E

    JamiiForums Tanzania Wana jf naomben msaada wa utambuzi!

    Thanks
  13. E

    JamiiForums Tanzania Wana jf naomben msaada wa utambuzi!

    Baada ya kumaliza diploma Nacte hutoa cheti baada ya muda gani?
Back
Top Bottom