Walimu wa masomo ya science sec schools tukutane hapa

Sitta juma

Member
Oct 4, 2016
44
24
Habar za Leo ndgu walimu,mi ni mwl wa phy Na hesabu,kuna matatizo yanayotukumba cc walimu wa sayansi ukiwa ni pamoja na wingi wa vipindi,hvyo nimeona bora tuunde group national wise ili tujadili tunatatuaje changamoto hizi kuliko kukaa kimya na kunung' unika kimoyomoyo,pia kwenye hilo group tutapeana updates na resources mbalimbali ili kujiweka more competence in our teaching professional,km vp nicheck Whatsapp 0767874060 ili niwaadd kwenye group
 
Walimu nao walishaanza kujitenga sahv walimu wa sayansi wanaonekana bora zaidi ya wale wa sanaa haka kadhana kakujitenga alikosema mwalimu nadhani kana ukweli, so mda walimu wa fizikia watakuja na uzi wao miaka ijayo ili nao watafakari
 
Habar za Leo ndgu walimu,mi ni mwl wa phy Na hesabu,kuna matatizo yanayotukumba cc walimu wa sayansi ukiwa ni pamoja na wingi wa vipindi,hvyo nimeona bora tuunde group national wise ili tujadili tunatatuaje changamoto hizi kuliko kukaa kimya na kunung' unika kimoyomoyo,pia kwenye hilo group tutapeana updates na resources mbalimbali ili kujiweka more competence in our teaching professional,km vp nicheck Whatsapp 0767874060 ili niwaadd kwenye group
Utajuaje kama wote watakao respond then wote watakuwa science teachers
 
Habar za Leo ndgu walimu,mi ni mwl wa phy Na hesabu,kuna matatizo yanayotukumba cc walimu wa sayansi ukiwa ni pamoja na wingi wa vipindi,hvyo nimeona bora tuunde group national wise ili tujadili tunatatuaje changamoto hizi kuliko kukaa kimya na kunung' unika kimoyomoyo,pia kwenye hilo group tutapeana updates na resources mbalimbali ili kujiweka more competence in our teaching professional,km vp nicheck Whatsapp 0767874060 ili niwaadd kwenye group
Unaposema vipindi ni vingi unamaanisha nini? Ikiwa mwajili anatakaTeaching load iwe ni vipindi 30 kwa wiki@mwalimu je wewe vinazidi hivyo 30?
 
Vipind kisheria sio zaid ya 24,sass wewe unaesema ni 30periods umezitoa WAP
Jaribu kumuuliza mwl wako wa Taaluma kwamba anavo andaa ratiba ya shule idadi ya vipindi kwa kila somo hua anarejea wapi? Au anatoa kichwani mwake? Kama sio mkoloni atakuza mengi!
 
Back
Top Bottom