Hii ni kero inayowatafuna wakazi wa kibaha hadi sasa, na ahadi za mara kwa mara za ujenzi wa Tank jipya lakini hamna kinacho endelea.
Dawasa Kibaha na wizara ya maji mbona hamchukui hatua??
Shida ya maji Kata ya Pangani, Halmashauri ya Kibaha Mji Mkoa wa Pwani.
Ndugu Admin/moderator naomba kutoa malalamiko yangu juu ya wizara ya Maji, kwani pamekua na shida ya maji miaka nenda rudi sasa kwa wakazi wa Kata ya Pangani mitaa ya Mtakuja, Kidimu, Pangani yenyewe na mitaa mingine...
Ukisikilza madai ya kila mmoj unakuja ona Nay ni mkora, coz alikua anamtesa mchizi kisa anatumia vyombo vyake pale free nation , jamaa akaona ajieengue ndo kufungua yake, baada ya hapo nay ndo kaanza manenk bt msela(T.touch), kaanza kujibu shutma zake juzi kati tu hapa baada ya Nay kua anaongea...
Kesho lazima atoke tu hamna namna, ila bro RC kweli kachemsha ktk hili duuu, inabidi taasisi na walioapishwa leo waje wafanye kaz yao sass kwa umakini, weledi na utashi wa hali ya juu sio kwa ukurupukaji huu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.