leo ni takriban miaka 13 toka muasisi wa Taifa hili afariki dunia namuombea kwa Mola amlaze mahala pema pepon
Nchi yetu haijapiga hatua yyt toka mwalimu Nyerere aiage dunia kwan viongoz we2 wamekuwa hawana nia nzur na taifa letu. Tizama viongoz wamekalia ufisad na huku taifa likizd kuwa maskini...
Unachokifanya haukijui nan alikudanganya kuwa kufel form 4 au 6 ni ujinga. Fikiria?
Na pia hao ma c.o unafkir wanakuja kufundsha bla kupewa mafunzo? Ni kupe siri ma c.o wanaumuhimu mkubwa kuliko ht unavyofkr.
Unajua maana ya clinical officer? au unajua objective za clinical officer? Unajua madhara ya kutokuwepo na clinical officer? thn jitahd sna kuheshimu kaz za wenzako. Na uwe una2mia kauli nzur.
Na pia unafikiria ma c.o ni wajinga fikiria mara mbili mbili.
Dada yng punguza jazba kuulza cyo ujinga mie nko nje ya Dar na nilikwsha danganywa mara kibao kuwa matokeo ya wizara ya afya yametoka kumbe nothing. Lakn ucjal km nimekukwaza sor.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.